TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

TANZIA Prince Baina Kamukulu afariki dunia

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
9,326
Reaction score
8,505
Habari Wakuu!

Nimepokea taarifa sasa hivi kwamba aliyekuwa mtangangazaji wa Radio Free Africa na MC maarufu Baina Kamukuru amefariki dunia huko jijini Dar es Salaam

Mliko Dar plz naomba uthibitisho wa taarifa hizi

Kama ni kweli RIP Baina Kamkuru!

===
Habari za kifo ni cha ndugu yetu mpendwa zimethibitishwa na RFA. Pumzika kwa amani.

Kifo chake cha ghafla, alikuwa anafanya mazoezi ya viungo, akadondoka ghafla, alipowahishwa Hospitali akakata roho.

attachment.php

Marehemu Prince enzi za uhai wake

attachment.php

Prince Baina akiwa na watoto wake

Baina Kamukulu amezikwa nyumbani kwao, manispaa ya Bukoba kata ya Kibeta.

attachment.php
attachment.php

Mjane wa Marehemu

attachment.php
attachment.php

Mtoto wa marehemu

attachment.php

Mjane wa marehemu
attachment.php

Kaka wa marehemu

10312526_10152667377155205_7132678452327686825_n.jpg
10411128_10152264803050205_4103195688558130345_n.jpg
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa mtangazaji wa siku nyingi nchini, ndugu yetu Baina Kamukulu, amefariki ghafla nyumbani kwake Kigamboni DSM.

Wenye taarifa zaidi mtujuze.

attachment.php
 
so sad news...mwanzo kabisa alikuwa radio free africa...sijui mpaka mauti yanamfika alikuwa wapi?...
 
Rip Prince Kamkulu, Mungu akulaze mahali pema peponi. Ameen
 
Alikuwa anaendesha kipindi cha bolingo enzi hizo kama sijasahau, RIP
 
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.

Jibu kiume.. Si vzr kila mtu ajue unatabia za kishog..
 
kulikuwa na sauti nziito ikisikika "PRIIINCE BAINA KAMUKULU--AFRICA BAMBATAA,kumbe alihamia Rfa?
 
Dar es salaam Ni kubwa hii mkuu. Fanya uje uone mwenyewe siku moja, usifikiri Kama kijijini kwenu watu wanajua kila kitu kinachoendelea hapa.

Huyo ni mtu maarufu na anafahamika na wengi sio kama unavyodhani wewe na wachezaji wenzako wa kigodoro. Mtu ameamua kuuliza JF kama kituo chetu cha kupata habari za haraka wewe unakuja na vimajibu vyako vya kwenu uchochoroni, unaweza kujikuta unajinadi unaishi Dar lakini nyumba hata choo haina.
Mleta mada, ni kweli Prince Baina Kamkulu amefariki usiku wa kuamkia leo na habari zake zimedhibitishwa na Radio Free Africa ambako amewahi kufanya kazi kwa muda mrefu. Sababu za kifo bado hazijawekwa wazi, ila ni ghafla.
 
Back
Top Bottom