Prince Dube nae ametupiwa majini?

Prince Dube nae ametupiwa majini?

Usijali maoni yako yamepokelewa.

Kama management tutaangalia jinsi ya kuzungumza na Kayoko tuone namna ya kumsaidia Mpumelelo.

Kuna haja ya Kayoko amtafutie penati ya kiufundi ili walau mwana atoe gundu.

Maana hivi hivi mambo hayaendi hata la offside mwanetu ameshindwa ku skoo.

Angefunga la offside marefa wote ni familia wangeli bless kama walivyofanya kwa Baleke.

Na akikaa vibaya dirisha dogo litamkuta akiwa na hizo kosa kosa zake bila goli.
 
Una maumivu makali mkuu
Unalia kama demu asiyefikishwa kileleni
Yanga itakuuwa

mu
 
Una maumivu makali mkuu
Unalia kama demu asiyefikishwa kileleni
Yanga itakuuwa

mu
Dube bila kufanyiwa hisani, kumuona anafunga labda ramadhani

Baleke tayari ashapigwa jeki gundu imetoka saizi tunamuangalia maendeleo yake kwenye mechi zinazofuata.

Hii ndio nature ya timu yenu.

Mashabiki mnahitaji supu ili mje uwanjani, na wachezaji vilevile wanahitaji magoli ya hisani ili waendelee kubaki kwenye piki.
 
Huwezi kuangalia mpira ukiwa na stress za madeni na ukaelewa kinachoendelea.

Nitajie mchezaji wenu aliyefunga hilo bao
Hakuna mchezaji wetu aliyefunga.

Makolo kwa kuwa mnatupenda mkaona mjifunge kwa ajili yetu.

Baada ya hapo makolo mkaanza vikao vya wazee na vilio juu.

Na wewe ndugu makovu ukapotea kabisa jukwaani.

Kwa sasa baada ya maumivu kuisha naona unarudi kwa kasi.
 
Sasa kama hakuna mchezaji wenu aliyefunga, hiyo dhana ya kusema mlitupiga inakujaje?
 
Dube bila kufanyiwa hisani, kumuona anafunga labda ramadhani

Baleke tayari ashapigwa jeki gundu imetoka saizi tunamuangalia maendeleo yake kwenye mechi zinazofuata.

Hii ndio nature ya timu yenu.

Mashabiki mnahitaji supu ili mje uwanjani, na wachezaji vilevile wanahitaji magoli ya hisani ili waendelee kubaki kwenye piki.
Dube ndo top scorer wa msimu huu
Kwa kuwa ni mbumbumbu utabisha
Umbumbumbuni hamuangalii performance ya
MUKWALA- striker goi goi
Mtale_ mbilikimo
Nouma_ usajili wa ovyo
Okajefa_ manywele asijua mpira

We upo unabeza Yanga, bingwa, anaongoza ligi, amekufunga mara 4 mfululizo
 
Back
Top Bottom