Prince Dube nae ametupiwa majini?

Prince Dube nae ametupiwa majini?

Ni mapema sana kumhukumu Prince Dube kutokana na mfumo wa uchezaji wa Yanga pale mbele, tangu mwalimu Gamondi akabidhiwe timu.
mapema kivipi mechi ya 8 hii hana goli hata moja? Hata pamba kashindwa kuwafunga? Mbona wengine wanafunga? Mbona baleke kafunga?
 
Dube ndo top scorer wa msimu huu
Kwa kuwa ni mbumbumbu utabisha
Umbumbumbuni hamuangalii performance ya
MUKWALA- striker goi goi
Mtale_ mbilikimo
Nouma_ usajili wa ovyo
Okajefa_ manywele asijua mpira

We upo unabeza Yanga, bingwa, anaongoza ligi, amekufunga mara 4 mfululizo
Huo utop skoa labda upatikane kwa njia ambayo wote tunaijua

Lakini kwa personal struggles hatoboi hata goli 7 msimu huu hafikishi.

Kuongoza ligi Yanga ni matokeo ya makosa ya kibinadamu hilo nalo sio mjadala
 
Dube siyo mchezaji wa kucheza Ken Gold kwa mkopo. Achilia mbali kununuliwa.
dube huyu huyu anayezidiwa magoli na huseni mwalimu anayecheza singida fountain gate? Dube huyu huyu ambaye mechi 8 mfululizo hajafunga hata goli la offside? Hata molinga na sapong hawakuwa wabovu hivo?
 
Huo utop skoa labda upatikane kwa njia ambayo wote tunaijua

Lakini kwa personal struggles hatoboi hata goli 7 msimu huu hafikishi.

Kuongoza ligi Yanga ni matokeo ya makosa ya kibinadamu hilo nalo sio mjadala
Akiwa top scoa mimi natoa ofa ya supu ya mamba pale uti
 
Dube ndo top scorer wa msimu huu
Kwa kuwa ni mbumbumbu utabisha
Umbumbumbuni hamuangalii performance ya
MUKWALA- striker goi goi
Mtale_ mbilikimo
Nouma_ usajili wa ovyo
Okajefa_ manywele asijua mpira

We upo unabeza Yanga, bingwa, anaongoza ligi, amekufunga mara 4 mfululizo
Dube mechi 7 ana goli ngapi mpaka sasa naoma umejambika hovyo 🤣
 
top scorer ana magoli mangaqi au nimesomesoma vibaya ulimaanisha top scorerless?
 
M
dube huyu huyu anayezidiwa magoli na huseni mwalimu anayecheza singida fountain gate? Dube huyu huyu ambaye mechi 8 mfululizo hajafunga hata goli la offside? Hata molinga na sapong hawakuwa wabovu hivo?
Mpape ana goli ngapi Madrid? Kasajiliwa Kwa pesa ngapi?
 
Dube mechi 7 ana goli ngapi mpaka sasa naoma umejambika hovyo 🤣
Hafungi yule. Ile ni sajili ya mihemko lazima itatota tu.

Na hapo bado hazijaanza zile pancha zake. Na pancha zake amekaa muda mfupi ni miezi mitatu.

Eti wanasema wampe muda, walishindwa kumpa muda Gwede mwenye goli 4 kutokea dirisha dogo ndio awe huyu Mpumelelo??

Tupo hapa hapa
 
Back
Top Bottom