Prince Dube nae ametupiwa majini?

Prince Dube nae ametupiwa majini?

Usijali maoni yako yamepokelewa.

Kama management tutaangalia jinsi ya kuzungumza na Kayoko tuone namna ya kumsaidia Mpumelelo.

Kuna haja ya Kayoko amtafutie penati ya kiufundi ili walau mwana atoe gundu.

Maana hivi hivi mambo hayaendi hata la offside mwanetu ameshindwa ku skoo.

Angefunga la offside marefa wote ni familia wangeli bless kama walivyofanya kwa Baleke.

Na akikaa vibaya dirisha dogo litamkuta akiwa na hizo kosa kosa zake bila goli.
Anzisha uzi wa mechi yenu na Mashujaa.
Nawatakia ushindi timu ya wazee wa mapigo na mwendo.
 
Wakati unajibu majibu ya Mbappe hukujua ile ni La liga. Ukiona ligi yetu ni ya mchangani basi na wachezaji ni wa mchangani kwahiyo ni viel vile
Dube tunae hapa bongo msimu wa 4 huu ila mpaka sasa hajawahi kuwa top scorer wala kuchukua kiatu hapo azam mpaka anaenda kuzeeka hapo kwenu mwiko nyuma
Yule dogo mwalimu toka singida black stars msimu wake wa kwanza bara tayari anaongoza kwa ufungaji tena ametokea ligi ya chini hapo zenji
Kwa mchezaji kama dube mlimpamba sana atafunga mpaka achoke tena uwepo wa chama aziz k na pakome lakini mpaka sasa anaongoza kulalamika kichwa kichwa 🤣
 
Na Griezmann ilikuwa hivyo, pale Barcelona alipambwa sana ila msimu wake wa kwanza hakufikisha goli 10 pamoja na uwepo wa mafundi pale Barcelona
 
Asipoangalia nae atamaliza msimu na magoli matatu

Amesajiliwa kwa hela nyingi sana,shida nini?

Umekuwa galasa kuliko Sarpong na Moringa
Wabongo kweli mpira hatujui! Mchezaji amekaa zaidi ya miezi 6 bila kucheza then mnataka acheze glafla kwenye kiwango cha juu😀👐
 
Uko sahihi,tumpe miaka miwili awe fit
 
Dube tunae hapa bongo msimu wa 4 huu ila mpaka sasa hajawahi kuwa top scorer wala kuchukua kiatu hapo azam mpaka anaenda kuzeeka hapo kwenu mwiko nyuma
Yule dogo mwalimu toka singida black stars msimu wake wa kwanza bara tayari anaongoza kwa ufungaji tena ametokea ligi ya chini hapo zenji
Kwa mchezaji kama dube mlimpamba sana atafunga mpaka achoke tena uwepo wa chama aziz k na pakome lakini mpaka sasa anaongoza kulalamika kichwa kichwa [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom