Duhh!! ",sipati picha wangemdaka wangemfanyia nini[emoji23][emoji23]Just simple as that! Kuna documentary moja BBC walifanya nae huko huko Afghanistan but katikati ya interview kikalia king'ora jamaa akatoka nduki na kuwaacha BBC akaenda akaingia kwenye jet fighter akasonga mbele.
Baada ya hapo Royal family wakaona dogo amekuwa exposed sana na pia wale terrorist wish yao ilikuwa dogo arudi UK akiwa mfu.
Front line alikuwa anaenda peke yake?,Any way Lazima alienda front akiwa kwenye Platoon na wenzie,wanajeshi wa uingereza waliokuwa nae ndio waliongea baada ya Prince kurudi UK.Kuwa anonymous haimanishi alikuwa peke yake front line.Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.
Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
Soldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting and unrealistic movie.Front line alikuwa anaenda peke yake?,Any way Lazima alienda front akiwa kwenye Platoon na wenzie,wanajeshi wa uingereza waliokuwa nae ndio waliongea baada ya Prince kurudi UK.Kuwa anonymous haimanishi alikuwa peke yake front line.
Sasa ulishasikia frontline mtu anakua peke yake?? Na walilalamika lini mbona hatukuwahi sikia hilo.. huyu jamaa ni kweli alienda frontline Afghanistan.Front line alikuwa anaenda peke yake?,Any way Lazima alienda front akiwa kwenye Platoon na wenzie,wanajeshi wa uingereza waliokuwa nae ndio waliongea baada ya Prince kurudi UK.Kuwa anonymous haimanishi alikuwa peke yake front line.
Akiwa anatumia jna gani?Soldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting.
Sijasema kwenda front line mwenyewe nachokikana ni Prince Harry kuwa Na ulinzi kama jamaa anavyotaka kutuaminisha..Prince alikuwa anarusha jet fighter na alienda kupambana sehemu kadhaa huko Afghanistan na kumrudisha home ilikuwa amri toka Royal family baada ya yeye kuwa known and targeted baada ya taarifa kuvuja kwamba yuko on duty Afghanistan.
Na hii hadi kesho inawafanya wamuone dogo kama mwanaume kamili toka kwenye ukoo ule wa kifalme but ana Changamoto zake anapenda kuwa huru Na kuishi kisela sana tofauti na kaka yake Prince William anaeishi kwa kufuata protocol za kifalme.
Ndio maana Prince harry anakubalika na waingereza na watu wote but Prince William anakubalika na Queen Elizabeth Kwa kuishi kifalme na kistaa.
ha haha acha masiharaUyo jamaaa ni nani?
Kwenye duty roster ya jeshini alikuwa anasomeka na kufahamika kwa jina la "Spike Wells jr"Akiwa anatumia jna gani?
WangemlawitiDuhh!! ",sipati picha wangemdaka wangemfanyia nini[emoji23][emoji23]
Nimekupa Like kwa madini haya na mengi unayotemaga. sina cha kukupa zaidi ya kuku followSoldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting.
Sijasema kwenda front line mwenyewe nachokikana ni Prince Harry kuwa Na ulinzi kama jamaa anavyotaka kutuaminisha..Prince alikuwa anarusha jet fighter na alienda kupambana sehemu kadhaa huko Afghanistan na kumrudisha home ilikuwa amri toka Royal family baada ya yeye kuwa known and targeted baada ya taarifa kuvuja kwamba yuko on duty Afghanistan.
Na hii hadi kesho inawafanya wamuone dogo kama mwanaume kamili toka kwenye ukoo ule wa kifalme but ana Changamoto zake anapenda kuwa huru Na kuishi kisela sana tofauti na kaka yake Prince William anaeishi kwa kufuata protocol za kifalme.
Ndio maana Prince harry anakubalika na waingereza na watu wote but Prince William anakubalika na Queen Elizabeth Kwa kuishi kifalme na kuzingatia protocol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante mkuu, na Mimi sina budi zaidi ya kukufollow Da'vinci mswahili mwenye codes zake kutoka mwaneromango.Nimekupa Like kwa madini haya na mengi unayotemaga. sina cha kukupa zaidi ya kuku follow
πππTeh teh ila still wee ni boya kupigwa kizembe mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante mkuu, na Mimi sina budi zaidi ya kukufollow Da'vinci mswahili mwenye codes zake kutoka mwaneromango.
Lovely!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu utakumbushia ishu za kishamba na hapa tu ndipo unaponitoaga kwenye mood, ila yule boya wa Forex alizaa na Mimi kizembe sana but huwa nikiona hadi wakina Max, AY, wamekula za uso...naonaga ule mtego ilikuwa mkubwa sana kwa mimi kuuruka.πππTeh teh ila still wee ni boya kupigwa kizembe mkuu...
Ulipromise kuleta uzi wa Michaelangelo ila naona kimyaa
Mimi ameniacha hoi hapo kwenye wajeda kulalamika. Walilalamikia wapi?! Kwenye media?!Sasa ulishasikia frontline mtu anakua peke yake?? Na walilalamika lini mbona hatukuwahi sikia hilo.. huyu jamaa ni kweli alienda frontline Afghanistan.
Sikuwahi kujua hiliSio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.
Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu utakumbushia ishu za kishamba na hapa tu ndipo unaponitoaga kwenye mood, ila yule boya wa Forex alizaa na Mimi kizembe sana but huwa nikiona hadi wakina Max, AY, wamekula za uso...naonaga ule mtego ilikuwa mkubwa sana kwa mimi kuuruka.
I'm currently handling busy schedule kiaina but soon nikisettle nitauleta Uzi wa Michaelangelo broh!
Just stick around.