SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
- Thread starter
- #21
Duhh!! ",sipati picha wangemdaka wangemfanyia nini[emoji23][emoji23]Just simple as that! Kuna documentary moja BBC walifanya nae huko huko Afghanistan but katikati ya interview kikalia king'ora jamaa akatoka nduki na kuwaacha BBC akaenda akaingia kwenye jet fighter akasonga mbele.
Baada ya hapo Royal family wakaona dogo amekuwa exposed sana na pia wale terrorist wish yao ilikuwa dogo arudi UK akiwa mfu.