Prince Harry anapenda dark skin

Prince Harry anapenda dark skin

Just simple as that! Kuna documentary moja BBC walifanya nae huko huko Afghanistan but katikati ya interview kikalia king'ora jamaa akatoka nduki na kuwaacha BBC akaenda akaingia kwenye jet fighter akasonga mbele.

Baada ya hapo Royal family wakaona dogo amekuwa exposed sana na pia wale terrorist wish yao ilikuwa dogo arudi UK akiwa mfu.
Duhh!! ",sipati picha wangemdaka wangemfanyia nini[emoji23][emoji23]
 
Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.

Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
Front line alikuwa anaenda peke yake?,Any way Lazima alienda front akiwa kwenye Platoon na wenzie,wanajeshi wa uingereza waliokuwa nae ndio waliongea baada ya Prince kurudi UK.Kuwa anonymous haimanishi alikuwa peke yake front line.
 
Soldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting and unrealistic movie.

Sijasema kwenda front line mwenyewe nachokikana ni Prince Harry kuwa Na ulinzi kama jamaa anavyotaka kutuaminisha..Prince alikuwa anarusha jet fighter na alienda kupambana sehemu kadhaa huko Afghanistan na kumrudisha home ilikuwa amri toka Royal family baada ya yeye kuwa known and targeted baada ya taarifa kuvuja kwamba yuko on duty Afghanistan.

Na hii hadi kesho inawafanya waingereza wamuone dogo kama mwanaume kamili toka kwenye ukoo ule wa kifalme but ana Changamoto zake anapenda kuwa huru Na kuishi kisela sana tofauti na kaka yake Prince William anaeishi kwa kufuata protocol za kifalme.

Ndio maana Prince harry anakubalika na waingereza na watu wote but Prince William anakubalika na Queen Elizabeth Kwa kuishi kifalme na kuzingatia protocol.
 
Front line alikuwa anaenda peke yake?,Any way Lazima alienda front akiwa kwenye Platoon na wenzie,wanajeshi wa uingereza waliokuwa nae ndio waliongea baada ya Prince kurudi UK.Kuwa anonymous haimanishi alikuwa peke yake front line.
Sasa ulishasikia frontline mtu anakua peke yake?? Na walilalamika lini mbona hatukuwahi sikia hilo.. huyu jamaa ni kweli alienda frontline Afghanistan.
 
Soldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting.

Sijasema kwenda front line mwenyewe nachokikana ni Prince Harry kuwa Na ulinzi kama jamaa anavyotaka kutuaminisha..Prince alikuwa anarusha jet fighter na alienda kupambana sehemu kadhaa huko Afghanistan na kumrudisha home ilikuwa amri toka Royal family baada ya yeye kuwa known and targeted baada ya taarifa kuvuja kwamba yuko on duty Afghanistan.

Na hii hadi kesho inawafanya wamuone dogo kama mwanaume kamili toka kwenye ukoo ule wa kifalme but ana Changamoto zake anapenda kuwa huru Na kuishi kisela sana tofauti na kaka yake Prince William anaeishi kwa kufuata protocol za kifalme.

Ndio maana Prince harry anakubalika na waingereza na watu wote but Prince William anakubalika na Queen Elizabeth Kwa kuishi kifalme na kistaa.
Akiwa anatumia jna gani?
 
hawa wengine ndio wamezaliwa mbele tu, wanapesa, maarafu, lakini dah rihhana hana mpango wowote. Bongo wadada kibao ukikatiza mitaani wanamuondoa K.O
 
Soldier walioenda peke yao front line ni Rambo na Schwarzenegger peke yao kuwakabili wavietnam na hii ni only acting.

Sijasema kwenda front line mwenyewe nachokikana ni Prince Harry kuwa Na ulinzi kama jamaa anavyotaka kutuaminisha..Prince alikuwa anarusha jet fighter na alienda kupambana sehemu kadhaa huko Afghanistan na kumrudisha home ilikuwa amri toka Royal family baada ya yeye kuwa known and targeted baada ya taarifa kuvuja kwamba yuko on duty Afghanistan.

Na hii hadi kesho inawafanya wamuone dogo kama mwanaume kamili toka kwenye ukoo ule wa kifalme but ana Changamoto zake anapenda kuwa huru Na kuishi kisela sana tofauti na kaka yake Prince William anaeishi kwa kufuata protocol za kifalme.

Ndio maana Prince harry anakubalika na waingereza na watu wote but Prince William anakubalika na Queen Elizabeth Kwa kuishi kifalme na kuzingatia protocol.
Nimekupa Like kwa madini haya na mengi unayotemaga. sina cha kukupa zaidi ya kuku follow
 
😀😀😀Teh teh ila still wee ni boya kupigwa kizembe mkuu...
Ulipromise kuleta uzi wa Michaelangelo ila naona kimyaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu utakumbushia ishu za kishamba na hapa tu ndipo unaponitoaga kwenye mood, ila yule boya wa Forex alizaa na Mimi kizembe sana but huwa nikiona hadi wakina Max, AY, wamekula za uso...naonaga ule mtego ilikuwa mkubwa sana kwa mimi kuuruka.

I'm currently handling busy schedule kiaina but soon nikisettle nitauleta Uzi wa Michaelangelo broh!

Just stick around.
 
Hapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.

Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
images-1.jpg
images.jpg
 
Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.

Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
Sikuwahi kujua hili
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilijua tu utakumbushia ishu za kishamba na hapa tu ndipo unaponitoaga kwenye mood, ila yule boya wa Forex alizaa na Mimi kizembe sana but huwa nikiona hadi wakina Max, AY, wamekula za uso...naonaga ule mtego ilikuwa mkubwa sana kwa mimi kuuruka.

I'm currently handling busy schedule kiaina but soon nikisettle nitauleta Uzi wa Michaelangelo broh!

Just stick around.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom