Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
harry-charles-diana-birth-work-done-memoir-12.jpg

Mtoto wa Mfalme Charles na hayati Princes Diana, Prince Harry anakiri katika kitabu chake kipya kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na umri wa miaka 17, lakini anasema "haikuwa ya kufurahisha sana".

Matukio hayo yanaonekana kuja baada ya babake, Mfalme Charles III, kumpeleka Harry katika kliniki ya kurekebisha tabia za watu walioathirika na dawa za kulevya ili kukutana na waraibu wanaopata nafuu, alipogundulika kuwa alikuwa akinywa pombe akiwa na umri mdogo na akivuta bangi.

=====================

Prince Harry has sensationally admitted to taking cocaine a 'few' times during his wilder party years.

Writing in his bombshell memoir Spare, which has been released in Spain ahead of its publication in the UK next week, the Duke of Sussex describes being dragged into the office of an unnamed member of the Royal Household staff during his grandmother the Queen's Golden Jubilee in 2002 after a journalist asked the Palace about his drug-taking habits.

Earlier in his autobiography, Harry describes smoking cannabis and boozing - but he has revealed for the first time how he was offered a line of cocaine during a hunting weekend.

Admitting that he lied to the Royal Household staff during his interrogation, Harry says taking cocaine 'wasn't much fun' and did it partly to be different and because he was a 'seventeen-year-old willing to try almost anything that would upset the established order'.

According to translations obtained by MailOnline and also reported by Sky News, he writes: 'It wasn't much fun, and it didn't make me feel particularly happy the way the others seemed to, but it did make me feel different, and that was my main goal. To feel. To be different.'

Harry also describes smoking cigarettes and cannabis, and drinking at the Windsor Castle golf course, while a student at Eton.

Tales of the Duke's exploits as a 'party prince' have been extensively reported over the years. Speaking on Dax Shepard's podcast in 2021, Harry laughed as he recalled his infamous party trip to Las Vegas which saw naked photos of him leaked to the press.

In 2012, Harry enjoyed a wild weekend in Las Vegas, where he was snapped in just a necklace while a naked girl hid behind him following a game of strip billiards in his VIP suite.

During Dax's 'Armchair Expert' show, the royal was chatting about how people are more likely to run away and rebel after being told 'you need help' when the host mentioned the notorious trip, joking: '[Or] take your clothes off in Las Vegas'.

It comes after the Duke of Sussex claimed that he and his brother begged their father not to marry the now-Queen Consort and that he wondered if she would one day be his 'wicked stepmother'.

Harry's autobiography, Spare, reveals that the royal brothers were aware of Camilla as the 'other woman'.

Kensington Palace and Buckingham Palace have declined to comment on the leaked claims from Harry's book which emerged five days before the explosive, tell-all memoir is due to be published in the UK.

The book includes details of the moment he was introduced to Camilla for the first time.

The duke reportedly claims he and his brother had separate meetings with her before she married the now-King in 2005.

He said seeing her for the first time was like avoiding pain while getting an injection, writing: 'This is nothing. Close your eyes and you won't even feel it.' Harry also alleges that Camilla appeared 'bored' during the meeting and thought about whether she would be his 'wicked stepmother' in the future.

DAILY MAIL
 
Labda ana hasira ya kuondolewa kwenye hirachy ya urithi
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
 
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Tena kamchongea na Prince William kuwa wote walimuomba baba yao asimuoe Camilla
 
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Kama ameishiwa hela aje huku nzubuka tulime mpunga utamtoa inshaalah
 
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Nimeona pia alisema kuwa anataka Kaka na Baba yake wahojiwe kuhusu tuhuma zake juu yao, hataki Ufalme uwajibu bali wahusika.

Kwa ufupi kuoa black american kama sio black american unapotea
 
Kama kweli princes Diana aliuwawa basi hii ndio backfire yao.

Waipokee tu kama ilivyo itapoa

Wakijaribu kumfix harry yule master Archie akiwa mkubwa atawapasha tena.

Wamelianzisha wenyewe walinywe
Archie nae akikua atatoboa siri mm navyoona ile British monach itanguka tu kama ilivyotokea France mana generation ya saiz haitaki ile monachy...
 
Yaani leo nilikuwa nasikiliza mahojiano kwenye Radio watu wamemtolea uvivu mpaka wasemaji wa jeshi wanasema kalivuruga

Huyu dogo usalama watamuua halafu waseme ni Taleban hawachelewi kusema kauwawa
Hiyo treni ilishaacha reli kitambo tu. Dogo hayupo sawa, na maoni ya watu kila wasomapo hicho kitabu ndiyo yanaenda kumtoa uhai
 
Back
Top Bottom