Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Mtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?
 
Mtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?
Anazo nyingi mkuu ila zinapungua
Kaachiwa nyingi na mama yake hata nyanya yao aliwapa hela nyingi sana na bibi Lilibet pia

Ila kama hazizai zinapungua mkuu sio kuwa zimeisha kabisa

Haya yote ni kutaka kuuza kitabu chake na hadithi za kuwakandia Royals ili apate hela
Kijana mpaka Netflix daa
 
Ila kijana kachanganyikiwa sana mpaka huruma
Sasa anaongelea kila kitu na mengine sio ya kusema kabisa kwani ni private ila kayatoa

Je ni kwa sababu mirija mingi imekata ama?
Hivi babake bado kakaza ....si nasikia alimfungulia akaunti zake

Bado hatujafika page ya kusema mamaake ako assassinated niko pale nimekaa[emoji848]
 
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji1787].....Sema Harry kapinda toka zamani

He's cunning
 
Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Kaishiwa? Si nasikia kapewa $100M n Netflix?
 
Hivi babake bado kakaza ....si nasikia alimfungulia akaunti zake

Bado hatujafika page ya kusema mamaake ako assassinated niko pale nikekaa[emoji848]
Nilishindwa kukuita sorry sijui ushamba [emoji1]

Anyway mzee alimpa hela nyingi sana Harry na mkewe ila matumizi makubwa sana na ulinzi juu yote analipa
 
Nilishindwa kukuita sorry sijui ushamba [emoji1]

Anyway mzee alimpa hela nyingi sana Harry na mkewe ila matumizi makubwa sana na ulinzi juu yote analipa
Hilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!

Hawana muda hawa kabisa...dada ana gundu huyu daah!

Anaweza hata kumgharimu maisha ya mume wake huyu[emoji848]
 
Huyo Harry hawezi kuuliwa....Nina wasiwasi na Meghan[emoji848]
Mimi nimeshtuka aliposema kauwa Taleban 25 wakati akiwa Afghanistan

Hii ndio safari yake kuzimu maana wanajeshi wameongea sana leo mpaka ma veterans kama sisi haha tuna hasira nae

Atayasemaje yaliyotokea front?
Hakuna mjeda anaeweza kusema kauwa wangapi hiyo ni siri mpaka kaburini

Watamuuwa hawa hawa
 
Hilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!

Hawana muda hawa kabisa...dada ana gundu huyu daah!

Anaweza hata kumgharimu maisha ya mume wake huyu[emoji848]
Hawana mda tutasikia mmoja kapotea
Huyo mke wake nae wale wale hawezi kuacha mengine yapite, kaingia kwenye Royal family angetulia tu

Wazungu ni wabaguzi ila angejibanza tu na kuendelea na maisha
 
Back
Top Bottom