Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Mimi nimeshtuka aliposema kauwa Taleban 25 wakati akiwa Afghanistan

Hii ndio safari yake kuzimu maana wanajeshi wameongea sana leo mpaka ma veterans kama sisi haha tuna hasira nae

Atayasemaje yaliyotokea front?
Hakuna mjeda anaeweza kusema kauwa wangapi hiyo ni siri mpaka kaburini

Watamuuwa hawa hawa
Yaani vitani kule afghanistan kauwa talebani 25. Anajiona kaua watu wengi mbona ni kawaida sana. Kama unamaliza vitani mwaka mzima ni watu wachache sana,
 
Yaani vitani kule afghanistan kauwa talebani 25. Anajiona kaua watu wengi mbona ni kawaida sana. Kama unamaliza vitani mwaka mzima ni watu wachache sana,
Tena kwa helicopter maana yeye ni gunners
Kuuwa sio tatizo maana ndio kazi ya mjeda ila hiyo siri ndio inammaliza kwa kuropoka
 
Huyu kinachomsumbua ni matumizi ya coccaine tuuuu. Ni changamoto sana,
Royal family na waliokuwa wanamuangalia ndio wenye makosa hawakumjali na kumuachia afanye analotaka
Mwaka 2005 alipelekwa Australia kwenye farm ya kondoo huko
Halafu akapelekwa tena Lesotho

Maadam kama wangemuangalia hivyo asingeingia kwenye mabalaa haya
Walimuona yuko mbali sana kwenye line ya Ufalme na kumuacha akajirushe

Hili aliulizwa mama mmoja ambae ndio alikuwa nanny wake akasema tunamuacha tu afanye atakavyo
 
Taliban leader accuses Prince Harry of killing innocent Afghans

Taliban official alleges son of Britain’s King Charles committed war crimes after Harry reveals he killed 25 people in Afghanistan.

The Taliban administration has denounced Britain’s Prince Harry for his admission of killing 25 people while on military duty in Afghanistan, and a senior Afghan official has accused the royal of killing innocent civilians.

“We checked and found that the days on which Prince Harry is mentioning the killing of 25 mujaheddin, we did not have any casualties in Helmand,” Taliban leader Anas Haqqani told Al Jazeera on Friday. “It is clear that civilians and ordinary people were targeted.”

“This story is a part of the many war crimes of the 20 years of Western military presence in Afghanistan,” he said. “It is not the whole picture of the crimes committed by them.”
 
Nachompenda Harry yuko real, ha fake, afu anaishi maisha yake binafsi ambayo amechagua na yanampa furaha na amani. Pia yuko huruu.

Nampenda sana Harry.
 
Rusha hapa wamesemaje
Wamemjibu kwa heshima sana ila wengine wamemlaani yeye na familia

Imagine mpaka ma commander wa UK wametoa tamko

Ila amekosea sana
Screenshot_20230107_092812_Chrome.jpg
Screenshot_20230107_093200_Chrome.jpg
 
Hilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!

Hawana muda hawa kabisa...dada ana gundu huyu daah!

Anaweza hata kumgharimu maisha ya mume wake huyu[emoji848]
Hapana bhana witty, napenda harry na Meghan wadumu milele.
 
Back
Top Bottom