Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote

Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Prince Harry aishiwe hela? Hamna kitu kama hicho. Advance tu ya hicho kitabu itakuwa mpunga mrefu balaa.
 
Prince Harry aishiwe hela? Hamna kitu kama hicho. Advance tu ya hicho kitabu itakuwa mpunga mrefu balaa.
I didn't mean that
Hela anazo sana ila mirija mingi imekatwa kwa zile alizokuwa anapata wakati akiwa hapa [emoji636]
Mama yake kamuachia nyingi na hata mama yake Queen alimpa fungu kubwa tu na baba pia

Ila hata wewe kwa mfano ulikuwa unapewa 100m kwa mwezi hala mara ukaporomoka na kuwa na zile ulizonazo tu ni lazima ujiongeze ila utakuwa umeshuka mno
 
Kwamba wakati Harry anaserve Afghan, Taliban hawakuwepo, hivyo kuna uwezekano hao 25 waliouliwa ni wananchi wa kawaida wasio na hatia
Wamejibu politely sana. Nadhani ni katika kutafuta world credibility kwa serikali yao kuwa hawahusiki na ugaidi tena kwa namna yoyote. Wangekuwa bado hawajakamata usukani huko Afghanistan, wangeweza kuweka vitisho vya kulipiza kisasi.
 
Wamejibu politely sana. Nadhani ni katika kutafuta wirld credibility kwa serikali yao kuwa hawahusiki na ugaidi tena kwa namna yoyote. Wangekuwa bado hawajakamata usukani huko Afghanistan, wangeweza kuweka vitisho vya kulipiza kisasi.
Kwa utani nilijisemea, kweli Taliban wamekua, yaani wanajibu kwa heshima hivyo?
 
I didn't mean that
Hela anazo sana ila mirija mingi imekatwa kwa zile alizokuwa anapata wakati akiwa hapa [emoji636]
Mama yake kamuachia nyingi na hata mama yake Queen alimpa fungu kubwa tu na baba pia

Ila hata wewe kwa mfano ulikuwa unapewa 100m kwa mwezi hala mara ukaporomoka na kuwa na zile ulizonazo tu ni lazima ujiongeze ila utakuwa umeshuka mno
Sawa Mkuu. Kwa kuongezea, watu wengi hawajui kwamba upande mama yao na kina Harry (Diana) ambao wanajulikana kama Spencers pia ni matajiri wakubwa.
 
Sawa Mkuu. Kwa kuongezea, watu wengi hawajui kwamba upande mama yao na kina Harry (Diana) ambao wanajulikana kama Spencers pia ni matajiri wakubwa.
Ni kweli wameachiwa hela nyingi kwani mama tu aliwaachia £13m yeye na Will
Na nyanya yake queen mother aliwaachia £10m
Baba nae akawapa £4.5m

Sio mbaya ila kama zinatoka tu na haziingii hapo lazima ajiongeze
 
Na huwa wana matumizi makubwa
 
Wamemjibu kwa heshima sana ila wengine wamemlaani yeye na familia

Imagine mpaka ma commander wa UK wametoa tamko

Ila amekosea sana View attachment 2471920View attachment 2471921
Inasikitisha sana kuwachukulia watu uliowaua vitani kama kete za kwenye "draft". Sio kitu cha kujivunia.

Hii inaonesha jinsi gani wanaotumwa kuua watu wanavyowachukulia wale wanaowaua.
Ben Saanane, Tundu Lissu na wengine waliopotezwa ndivyo walivyoonekana kwa wale madhalimu waliotumwa kuwatowesha.
 
Hukumbuki wanajeshi wa [emoji631] huko Iraq walikuwa wanasema haina tofauti na kucheza game [emoji452] za kivita
Halafu watu wanashangilia
 
Unatak kusema baba ake akifa hana cha kulidhi?
 
Back
Top Bottom