Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Niupdate mkuu[emoji16][emoji16]
Naona na John Hatton kaongelea kuhusu issue ya Harry kuhusu Afghanistan
Huyu alikuwa Waziri wa Ulinzi na kusema Wrong on every level

Eti RF have won the battle so far [emoji1]
Screenshot_20230108_074555_Chrome.jpg
 
Kweli wamemjibu kistaarabu sana maana wanajua amevurugwa na maisha yake

Hilo la kumjibu ni moja, ila yeye kuwaita binadamu pieces of chess ndio mbaya na sio ustaarabu
Ni mbaguzi sana mshenzi huyu
Lkn alichokisema Ni sawa kabisa,hivyo ndivyo Wazungu a.k.a wazee wa demokrasia wanavyotuona sisi waafrika, waarabu na races nyingine.Whether iwe ni wkt wa kutuua huko vitani au kwny mambo ya kila siku ya Maisha.

Alichokosea tu Ni amesema hadharani lkn huo ndio ukweli aliousema..
 
Ni kweli kabisa hayo yamo moyoni mwao sana
Wameuwa Red Indians, Aborigines na kuwamaliza ili wachukue ardhi

Sisi wakatufanya watumwa
Wanatuona hatuna thamani
 
Ni kweli, wengi wako dhidi yake kwa hilo tu ila wengi walikuwa wanamuona kama katengwa vile haswa alipoamua kwenda kuishi America

Alipokonywa vitu vingi sana mpaka alikataliwa kuvaa kijeshi wakati wa mazishi ya Queen,
Nayo yakapita

Kwa hili la Afghanistan hapana kwa kweli na hakuna anaefurahia maana makamanda wakubwa wameongea pia
Siyo kweli Kwenye msiba wa malkia alivaa Sare za Kijezhi kama kawaida
 
Ni kweli karopoka na sio kitu kizuri lakini hao Taliban hawawezi mfanya chochote huyo dogo achilia mbali kumfikia kwa lolote,kivyovyote.
Huyo dogo pamoja na vituko vyake ila ni mwanamfalme ,ni mtu wa tano katika urithi wa Ufalme wa taifa la uingereza!
Huyu dogo hakuna wa kumuua ni damu ya ndani hiyo wala sio muolewaji katika palace. Huyo ni mwanamfalme wa Uingereza.
 
Imagine Rais wa nchi kama marekani, Kennedy alikuwa assasinated itakuwa huyo Prince, kama ukishakuwa threat kwenye nchi kuwa eliminated ni kugusa na kwa anavyojitengenezea controversies ili auze vitabu au apate hiyo global spotlight na mkewe. Likipangwa jambo ni rahisi kuangushia lawama sehemu nyingi
 
Back
Top Bottom