Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Baba yake sawa ila kuna mengi alimkatia ila hela anazo za kutosha

Analalamika kuwa baba yake hakumkumbatia wakati anampa habari ya kifo cha mama yake

Bado ana machungu ya mama yake
Hehehe hapo patamu na kumekucha [emoji848]

Naona Chalz kasarenda
 
Sijui Meghan akimuacha atakunywa sumu. Maana ndio kamjaza sumu na kutafuta umaarufu. Ilianza interview ikabuma, leo Kitabu. Sijui baada ya Kitabu itafuata Nini.
 
Back
Top Bottom