Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Taliban leader accuses Prince Harry of killing innocent Afghans

Taliban official alleges son of Britain’s King Charles committed war crimes after Harry reveals he killed 25 people in Afghanistan.

The Taliban administration has denounced Britain’s Prince Harry for his admission of killing 25 people while on military duty in Afghanistan, and a senior Afghan official has accused the royal of killing innocent civilians.

“We checked and found that the days on which Prince Harry is mentioning the killing of 25 mujaheddin, we did not have any casualties in Helmand,” Taliban leader Anas Haqqani told Al Jazeera on Friday. “It is clear that civilians and ordinary people were targeted.”

“This story is a part of the many war crimes of the 20 years of Western military presence in Afghanistan,” he said. “It is not the whole picture of the crimes committed by them.”
Ohooo yamemgeukia vibaya
Kwa hiyo aliuwa civilians tu na sio wapiganaji

Huyu dogo amepotea
 
Wamemjibu kwa heshima sana ila wengine wamemlaani yeye na familia

Imagine mpaka ma commander wa UK wametoa tamko

Ila amekosea sana View attachment 2471920View attachment 2471921
"He did not think of them as people, but instead as chess pieces that had been taken off the board". Kauli ya hovyo na kibaguzi kabisa, dogo kanichefua hapa, hata kitabu chake sitaki kukisoma. Yeye anaituhuhumu familia yake kwa kumbagua mke wake wakati na yeye ni mbaguzi mkubwa.
 
Kaishiwa? Si nasikia kapewa $100M n Netflix?
Ndio ushangae Sasa mkuu.

Jamaa kwa fame yake lazima kala Hela ndefu sana na still kwa umaarufu alio nao atapiga Hela ndefu sana akijipangs huyu jamaa ni bilionea

Akijichanganya anafilisika.

Ukiwa maarufu kule states tena prince unakufaje njaa tabloid tu wanakusaka daily uwape umbea au picha zako wauze udaku kwa wamarekani maana wanapenda umbea kama wabongo.

Uzuri wapenda umbea na udaku wa states wanampenda harry sio UK wanambagaza daily.

So harry ajichange fresh hawezi kufa njaa na huyo Meghan akiwa ana matumizi ya kawaida they will make to billionaires status ndani ya miaka 10 ijayo.
 
Mimi nadhani dhambi ya ubaguzi dhidi ya Meghan na watoto wao ndio imemtia hasira sana Prince Harry.
Alipooa mwanamke i)black, ii)divorced, iii) siyo muingereza, iv) siyo anglikana, v) umri mkubwa kuliko yeye, alitarajia nini kwenye familia ya kifalme?

Waingereza ni watu conservative wa hali ya juu kuliko hata mataifa mengi ya ulaya.
 
Tena kamchongea na Prince William kuwa wote walimuomba baba yao asimuoe Camilla
Mimi sioni kama hiyo ni issue kubwa sana kwa vile baba yao bado alikuwa anampenda Camilla, alishaachana na mama yao na pia kwa nini asikilize ushauri wa watoto kwa ajili ya furaha yake katika dunia hii?

Ni kawaida kwa watoto kutaka ku 'dictate' maisha ya wazazi wao kama vile wao ndiyo walimzaa huyo mzazi.
 
"He did not think of them as people, but instead as chess pieces that had been taken off the board". Kauli ya hovyo na kibaguzi kabisa, dogo kanichefua hapa, hata kitabu chake sitaki kukisoma. Yeye anaituhuhumu familia yake kwa kumbagua mke wake wakati na yeye ni mbaguzi mkubwa.
Nimeudhika sana kuwaita binadamu na kufanya game
Laana anayo bila Shaka
 
Na bosi wa Taleban tayari amemjibu kistaarabu kuwa wale sio chess pieces lakini ni binadamu na walikuwa na familia ambazo zinawategemea.
Kweli wamemjibu kistaarabu sana maana wanajua amevurugwa na maisha yake

Hilo la kumjibu ni moja, ila yeye kuwaita binadamu pieces of chess ndio mbaya na sio ustaarabu
Ni mbaguzi sana mshenzi huyu
 
Nimeona pia alisema kuwa anataka Kaka na Baba yake wahojiwe kuhusu tuhuma zake juu yao, hataki Ufalme uwajibu bali wahusika.

Kwa ufupi kuoa black american kama sio black american unapotea
Wakati mjamzito,hekaluni maswali vichwani mwa malkia na wengine ilikua mtoto atakua mweusi kiasi gani!!?.. Meghan aliumia Sana kusikia hivyo,ukiona black america lazima upotee kivipi!?
 
Maoni ya wanaompinga uingereza yamekuteka
Mimi tangu mjadala uanze nasikiliza hapa Radio LBC kama umewahi kuisikia ni Leading Britain's Conversation
Na niko nao hapa naishi na ni mmoja wao pia
Hayo ni maoni yangu na nilikuwa namhurumia sana hata siku alipowekwa nyuma ya jeneza la mama yake nilikuwepo na nilimshuhudia kwa macho
Nilihuzunika sana kuwaona ila hayo yalipita

Leo amekuwa mtu mzima na kama wewe unaona yuko sahihi kuwaita binadamu vipande vya chess ni maoni yako pia
Ameongelea mpaka private part zake na pia alipofanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mengi mengi sana

Ila hili la kujisifia kauwa watu ni kosa
Mimi nimepitia jeshi na nilikuwepo middle east miaka ya 1980- 1990
Kwa hiyo siwezi kushabikia ujinga huo I'm sorry
 
Maoni ya jamii ya kiingereza yapo dhidi ya harry
 
Maoni ya jamii ya kiingereza yapo dhidi ya harry
Ni kweli, wengi wako dhidi yake kwa hilo tu ila wengi walikuwa wanamuona kama katengwa vile haswa alipoamua kwenda kuishi America

Alipokonywa vitu vingi sana mpaka alikataliwa kuvaa kijeshi wakati wa mazishi ya Queen,
Nayo yakapita

Kwa hili la Afghanistan hapana kwa kweli na hakuna anaefurahia maana makamanda wakubwa wameongea pia
 
Makamanda si ni sehemu ya mfumo,mfumo upo against Harry,mentality za waingereza na marekani pia husetiwa na media
 
Back
Top Bottom