Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Prince Harry anasema alitumia Cocaine lakini hakuipenda

Mimi nimeshtuka aliposema kauwa Taleban 25 wakati akiwa Afghanistan

Hii ndio safari yake kuzimu maana wanajeshi wameongea sana leo mpaka ma veterans kama sisi haha tuna hasira nae

Atayasemaje yaliyotokea front?
Hakuna mjeda anaeweza kusema kauwa wangapi hiyo ni siri mpaka kaburini

Watamuuwa hawa hawa
Weeee[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji26]

Lakini RF si wamempa ulinzi shirikishi ( M16) au?

Wasituuliie Harry wetu jomoni[emoji848]
 
Ebwana eeh ..ila Harry anatafuta hela kwa nguvu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Ameandika na kuongea mengi sana sijui utapata soft copy ya kitabu [emoji1]

Hebu angalia mtoto aliekuwa ana date nae ila msichana hakuwa tayari kuingia kwenye Royals
Screenshot_20230106_181610_Chrome.jpg
 
Hilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!

Hawana muda hawa kabisa...dada ana gundu huyu daah!

Anaweza hata kumgharimu maisha ya mume wake huyu[emoji848]
Asili yake ndiyo inamponza huyu dada. Hawa Royal Family walimpokea kishingo upande tu. Katika hili suala la Harry kuharibu Royal family nao wana lawama zao nyingi tu.
 
Back
Top Bottom