Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Naona na John Hatton kaongelea kuhusu issue ya Harry kuhusu AfghanistanNiupdate mkuu[emoji16][emoji16]
Yaishe
Na kweli huwezi kumvumilia mtoto anaekuvua nguo
Lkn alichokisema Ni sawa kabisa,hivyo ndivyo Wazungu a.k.a wazee wa demokrasia wanavyotuona sisi waafrika, waarabu na races nyingine.Whether iwe ni wkt wa kutuua huko vitani au kwny mambo ya kila siku ya Maisha.Kweli wamemjibu kistaarabu sana maana wanajua amevurugwa na maisha yake
Hilo la kumjibu ni moja, ila yeye kuwaita binadamu pieces of chess ndio mbaya na sio ustaarabu
Ni mbaguzi sana mshenzi huyu
Ni kweli kabisa hayo yamo moyoni mwao sanaLkn alichokisema Ni sawa kabisa,hivyo ndivyo Wazungu a.k.a wazee wa demokrasia wanavyotuona sisi waafrika, waarabu na races nyingine.Whether iwe ni wkt wa kutuua huko vitani au kwny mambo ya kila siku ya Maisha.
Alichokosea tu Ni amesema hadharani lkn huo ndio ukweli aliousema..
Sahihi kabisa mkuu.Ni kweli kabisa hayo yamo moyoni mwao sana
Wameuwa Red Indians, Aborigines na kuwamaliza ili wachukue ardhi
Sisi wakatufanya watumwa
Wanatuona hatuna thamani
Siyo kweli Kwenye msiba wa malkia alivaa Sare za Kijezhi kama kawaidaNi kweli, wengi wako dhidi yake kwa hilo tu ila wengi walikuwa wanamuona kama katengwa vile haswa alipoamua kwenda kuishi America
Alipokonywa vitu vingi sana mpaka alikataliwa kuvaa kijeshi wakati wa mazishi ya Queen,
Nayo yakapita
Kwa hili la Afghanistan hapana kwa kweli na hakuna anaefurahia maana makamanda wakubwa wameongea pia
Sasa unafikiri hana mali huyo sio Mo dewjNi mapatano tu na hapewi cash bali ni kwa awamu
Ulinzi wake 24/7 ni $3m kwa mwaka bado kula kulala na safari zake
Hapa mnaleta nongwa tuuHawana mda tutasikia mmoja kapotea
Huyo mke wake nae wale wale hawezi kuacha mengine yapite, kaingia kwenye Royal family angetulia tu
Wazungu ni wabaguzi ila angejibanza tu na kuendelea na maisha
Tena wa Uingereza! Kuna masikhara mengi sana humu JF.Mtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?
Tunaongea tu maana hatujui yanayoendelea hata magazeti na mijadala ya Radioni huwa kila mmoja anatoa mawazo yake tuHapa mnaleta nongwa tuu
Mo dewji ndio naniSasa unafikiri hana mali huyo sio Mo dewj
Kwani UK inampa hela?Tena wa Uingereza! Kuna masikhara mengi sana humu JF.
Aisee!Kwani UK inampa hela?
Mirija imekatwa ingawa anazo bado na za urithi
Masikhara yako wapi
View attachment 2474365
Ndio maana yake [emoji1]Aisee!
PichaSiyo kweli Kwenye msiba wa malkia alivaa Sare za Kijezhi kama kawaida
Mtoto wa Mseven Muhoozi hana akili hata mojaAkili za prince Harry na Akili za mtoto wa Museven General Muhoozi zinafanana kabisa.
Imagine Rais wa nchi kama marekani, Kennedy alikuwa assasinated itakuwa huyo Prince, kama ukishakuwa threat kwenye nchi kuwa eliminated ni kugusa na kwa anavyojitengenezea controversies ili auze vitabu au apate hiyo global spotlight na mkewe. Likipangwa jambo ni rahisi kuangushia lawama sehemu nyingiNi kweli karopoka na sio kitu kizuri lakini hao Taliban hawawezi mfanya chochote huyo dogo achilia mbali kumfikia kwa lolote,kivyovyote.
Huyo dogo pamoja na vituko vyake ila ni mwanamfalme ,ni mtu wa tano katika urithi wa Ufalme wa taifa la uingereza!
Huyu dogo hakuna wa kumuua ni damu ya ndani hiyo wala sio muolewaji katika palace. Huyo ni mwanamfalme wa Uingereza.