kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
- Thread starter
-
- #21
Ila prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Mkuu dhambi gan hiyo pua umeiona lknIla mna dhambi nyie. Lol
[emoji23][emoji23]kwaiyo huyo Onyango akikutana na huyo mwenye njano atamuamkia shikamoo blaza?[emoji23]Rafiki kizaa zaa kimeanzia hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1598879
Thati thirii kwa twenti seveni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeleeeuwiiii!! Rafiki unaleta kizaa zaa ingine huku. πππIla prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Ifikie hatua tujuage tu anakimbilia ngapi na sio kutudanganya wakati sura inaonyesha jua lishazama. πππIla prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Umefanya nimecheka. Lol.Ikitokea mashindano ya salamu kati ya onyango na max wetu wa JF. Onyango atashinda kwa shikamoo za kutosha.huku max akidaka salamu za kawaida mambo,niaje,hello,hujamboππππππ
Mmmh. Mkuu usisahau kwamba hajajiumba huyo.Mkuu dhambi gan hiyo pua umeiona lkn
Itabidi iwe hivyo sababu Onyango ni dogo sana kwa huyo jamaa.[emoji23][emoji23]kwaiyo huyo Onyango akikutana na huyo mwenye njano atamuamkia shikamoo blaza?[emoji23]
We kwa akili yako unadhani Simba walikuwa wanasajili kazi ama sura?
Mkuu tumekumisDuuh!! Onyango kazua kizaa zaa.
Yeleeeuwiiii!! Rafiki unaleta kizaa zaa ingine huku. πππ
Umefanya nimecheka. Lol.
Rafiki au ulaji na maiyiinvairomenttii nayo yanasababisha kuzeeka huku bado mtu ni kijana. πππ
Itakuwa Snapchat ?!View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
Ila kana sauti nzuriView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
Mkuu utani wa huko IG mbona kawaida sana,ungekuwa unaona utani wa Oscar Oscar JR si ungeitisha maandamano kabisa? Uspanic saaana na kupoteza muda kuwaza mambo ya mitandaoniNimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.
Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.
Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?
Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
Lugha gongana. πππHalafu hawajaifafanua point ya prisca vizuri. Prrusca anataka umri sahihi wa onyango na sio sura yake
Nipogo Mkuu.Mkuu tumekumis
πππ Mkuu na usikute Onyango mwenyewe hata hajui kama wapo watu wanaomlilia namna hii. ππMkuu utani wa huko IG mbona kawaida sana,ungekuwa unaona utani wa Oscar Oscar JR si ungeitisha maandamano kabisa? Uspanic saaana na kupoteza muda kuwaza mambo ya mitandaoni
Mbona yuko POA tu. Alafu nyie wapenzi namashabiki wa Mikia SC mbona wagumu kuelewa?View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
Aaah ndiyo hapo sasa,anatumia nguvu nyingi bila sababuπππ Mkuu na usikute Onyango mwenyewe hata hajui kama wapo watu wanaomlilia namna hii. ππ