Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK wala asikusumbue Mkuu kwani Historia yake ya Kimaisha hadi hapo alipo naijua ndani nje. Zamani alikuwa akiuza Mayai kutoka Mbagala hadi maeneo ya Mikocheni huku akiwa anavalia tu Nguo Moja hiyo hiyo ( Kauka Nikuvae ) 24/7 na alipokuwa akibahatika tu Kuuza hayo Mayai ndiyo akirejea zake Mbagala.

Najua haya ninayoandika hapa 100% ya Wafanyakazi wa CMG wanajua na hata 'Entertainment Genius' Marehemu Ruge Mutahaba huko aliko anaungana nami katika 'Uhalisia' wake huu huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK anayetaka Kucheza na Watu wa Simba SC ambao amesahau kuwa tunamjua vyema tu tena kuliko vile ambavyo Yeye anajijua.

Kuna muda kwa Mazingira aliyokuwa nayo alipokuwa akienda Kutembeza 'Mayai' yake pale CMG baadhi ya Wafanyakazi wa Kike walikuwa 'wakimwepa' japo wengine walimvumilia tu kutokana na Kumuonea Huruma na nimeshangaa sana leo hii kuona kabadilika hivi Kitabia. Hata huko Mbagala alikokuwa akiishi alikuwa akikosa mahala pa Kulala na alikuwa akilala tu kwa Watu kwa Kuomba na Kuonewa Huruma.

Ni Mwenyeji wa Kigoma ( Bandeko Nangai ) wa Kabila la Waha ( Muha ) na Yeye ndiyo 'Family Breadwinner' pia tokea alikokuwa akiuza 'Mayai' barabarani kwa Kuyatembeza na haishangazi hata Kuona 'amekomaa' sana Miguu yake kwani kwa 'Ruti' za Kukatiza Mitaa alizokuwa akizifanya ni lazima tu angekuwa 'Mkomavu' hivyo ukichanganya na Kabila lake la Waha ambao pia 'Kiasili' ni Watani zangu Wakubwa sana.

Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika katika Msiba wa Ruge Mutahaba itakuwa 'alilia' na 'ulimuuma' mno basi atakuwa ni huyu Mtangazaji. Wakati alipokuwa akienda sana pale CMG Kuuza Kichocheo cha Kujamba ( Mayai ) Marehemu Ruge kama kawaida yake akiwa ni 'Mvumbua Vipaji' aliweza Kuisikia Sauti yake ndipo akamuomba Mkuu wa Michezo CMG Kipindi hiko Shaffih Dauda akae nae na Wampike zaidi.

Kutokana na Maisha magumu aliyokuwa nayo huyu Mtangazaji baada ya Marehemu Ruge Kuagiza hivyo hasa kwa Kumuonea Huruma kuna Siku alimwita huyu Mtangazaji Ofisini Kwake kisha akampa Maelekezo apeleke kwa Mhasibu wa CMG ambapo Ruge alimuombea Mkopo wa Hela kama Milioni 3 au 5 ya Yeye kuanzia Maisha ambapo hiyo Siku huyu Mtangazaji aliyetaabika hakuamini na alizimia pale Ofisini.

Kweli baada ya Watu wa Kitengo cha Michezo kutii 'Maagizo' ya Marehemu Boss Ruge juu ya huyu Mtangazaji ambaye kiukweli ana Sauti nzuri wakaanza kumpa nafasi ya Kutangaza hapo Vipindi vya Michezo akiungana na Mwanadada mwingine aliyekuwepo pekee katika Kipindi hiko Fatma Likwata. Na tokea hapo ndiyo Safari yake ikaanza na Maisha yake yakabadilika hadi leo hii anakuwa Jeuri akisahau alikotoka.

Baada ya Kufanikiwa kupitia 'Maono' ya 'Boss Ruge' Kwake na kuanza nae kuwa Mtangazaji na kupata 'Exposure' huku akijulikana na Watu ( Wadau ) Mtangazaji huyu alipata 'Zari' la Kupendwa na Waziri Mwandamizi mmoja wa Serikali hii ya Dkt. Magufuli ambapo pamoja na Wadau Kumuonya / Kumkanya kuwa Waziri huyo tayari 'analikung'uta' vizuri kabisa Gitaa la Dally Kimoko ( Kaathirika ) Kitambo Yeye hakuwasikia.

Ndipo baadae akaanzisha 'Mahusiano' na huyo Waziri Mwandamizi ambaye naye huyo Waziri kwa 'Kupagawa' na 'Mahaba' ya huyu Mtangazaji akaamua Kumjengea Nyumba nzuri tu na ya 'Kifahari' huko Changanyikeni anakoishi sasa na kuona haitoshi huyu Waziri akaamua Kumjengea Mama yake huyu Mtangazaji Nyumba huko Kwao Kigoma na Kumnunulia Gari zuri alilonalo sasa huyu Mtangazaji Mnafiki.

RAI yangu nikimalizia ni kwamba kama unajijua umekulia Maisha ya taabu na dhiki ukija Kufanikiwa usitake Kudharau wanaokujua na waliokuokoa.
 
Umeeandika upupu, hujielewi By the way kila mtu ana historia yake ya kutafta mkate wa kila sku..hyo ni yake na sio aibu....pumbavu wew
 
Aisee,watu wanatoka mbali sana
 
Na hilo wigi alilovaa kichwani udhani ulimi wa Mbwa......Kipozeo cha Mzee wa Degree 4 hicho a.k.a Mzee wa Mabaka Mabaka
Shadeeya
Niseme tu hii kauli haibadili alichokiandika Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Your browser is not able to display this video.
 
JF..Where we dare to talk Openely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…