Prisoner 46664 Please Take Me to A Dinner Date (Nani Kuibuka Mshindi!)

prisonetr huyo wa kutravel atakupasua nkichwa ,huyo mwingine mtafuta madini na migodi tu,the only option ya ukwee ni kwangu the only decent in this jukwaa, upewe nini tena zaidi ya milki yangu

Hahahaaaaaaaa! Prisoner Mwanaume wa ukweli takes care of his girl!!!!! Jst take care of me n it will be my full time job to make you happy! Ill carter to you baby!

Kazi yangu ni kuhakikisha unapata what your heart desires!!!!! Ukija room nakupoke mkoba kwa mabusu teletele! Nakuvua viatu na soxi, mkanda na vilivobakia! Hapo nipo kwenye khanga moko, Tunastua kwanza na cha pole na uchovu wa kazi, Baade unanisimuli yote yaliojiri kazini, Im here to listen baby! Massage lazima, viti hivi vya mchina haviaminiki, Tunakula, Jioni zoezi linaendelea! Saa kumi cha asubuhi lazima! Hapo nishakuchaguli nguo za kazini! Yaani ssssssssssssssss!!!!!!!!

Hawa watoto moto huu hawauwezi! Wengine hivi ni vipaji sio kujifunza!
 
Hahahaaaaaaaaaa! Moto ulivo mkali huu hadi kubwa la maadui navuta pumzi! Si mchezo! Amatures hawawezi kugusa anga hii! Lazima wakae chonjo! Hili goma inabidi kulivalia Raizon namba mbili ili kulicheza!

Amatures zao PM tu, ndo uwanja wa wanyonge! Hapa upinzani mkali zaidi ya kugombea jimbo!
 
Afu Baba V kazi imekushinda! Badala unifungishe ndoa na Prisoner ya kule chit chat umekaa unakodoa macho tu, na kungaa sahrubu!

Nitandamana tumpate mtu alie fasta!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Cielo bana habari gani za ushindi wa mezani, we endeleza league hapa hata robo fainali bado angalau mnisogeze sogeze sogeze maana najua fainali natinga natafuta mshindi wa pili tu tumfikirie hata kwa juice ya azam ya elfu tano hahahaha
 
hahahahah sasa si mnikabidhi prisoner wangu tukajimwayemwaye!!! mie ndo mshindi na ole wenu nisikie a lady anajikomba kwake....
 
we nawe usiilalie mlango wazi bahati ya mwenzio, hua havitunukiwi hivihivi kafanya kazi mwenzio ujue, nani kama prisoner narudia no one like u

Kila mtu anapenda vizuri, hata kama nimezeeka, i like it the way mnavyopigana vikumbo hapa
 
I like that seeing them down
Them niggaz jackin' my style
They try to copy my swagger
I'm on that next shit now
I'm so three thousand and eight
You so two thousand and late
 
hahahahah sasa si mnikabidhi prisoner wangu tukajimwayemwaye!!! mie ndo mshindi na ole wenu nisikie a lady anajikomba kwake....

hakunaga ushindi wa kirahisi hivyo, cha ukwee hichi kuking'oa uache kazi ufanye kazi like wot am doing rit now najua once i win ma prisoner atanipoza machungu yote ya hili game lisilo na mshika kibendera wala kanuni za uchezaji faulo njenje
 
Afu Baba V kazi imekushinda! Badala unifungishe ndoa na Prisoner ya kule chit chat umekaa unakodoa macho tu, na kungaa sahrubu!

Nitandamana tumpate mtu alie fasta!!!!!!!!

Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anapenda vizuri, hata kama nimezeeka, i like it the way mnavyopigana vikumbo hapa

hahaha ukiona watu wameamua kuingia ulingoni ujue c ashindano ya kichangani haya mshindi kupewa mbuzi cjui kuku, hii ni zaidi ya medani ya tanzanite,to win prisoner ni zaidi ya ikulu ya obama in this we so col love
 
I like that seeing them down
Them niggaz jackin' my style
They try to copy my swagger
I'm on that next shit now
I'm so three thousand and eight
You so two thousand and late

teh teh teh, we lowasa wewe...!
 
Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!

keybord ndio mwanzo wa kila kitu mkuu kwenye hili game, next ndio hiyo dina then ges wot next next nahisi sihitaji kukuambia hili
 
Suprise..hapa umeshanionea,,nlikuwa na haki ya kukulalamikia juzi lol!..
 
Last edited by a moderator:
Aiseee! JF zaidi ya uijuavyo! Time changes. Napita tu! Kila la heri~!
 
Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!

Naona umegomaaaa kutekeleza wajibu! Hata sie tunataka kuona the real package tu! So TUTAONJANA!!!!!!! Hilo lisikupe pressure!

Hata 13YRS zilianza na dinner date!
 
mmh...lord knows I am touched Suprise..em share na wewe kidogo kwanza..how are u so 'commited'??please help a man out..
 
Last edited by a moderator:

hahaha wacha zako kwani dnt beki tatu not need dushelele jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…