Prisoner 46664 Please Take Me to A Dinner Date (Nani Kuibuka Mshindi!)

Suprise..hapa umeshanionea,,nlikuwa na haki ya kukulalamikia juzi lol!..

beib pls kwenye ........ hivyo vitu vidogovidogo hua havionekani, mbona unataka kuntafutia visa jamani, me ntajitoa ujue haf ukipata murder case shauri ako
 
mmh...lord knows I am touched Suprise..em share na wewe kidogo kwanza..how are u so 'commited'??please help a man out..

sasa Prisoner, hapo huelewi nini tena ma ....... to be, a comiitted gal gal is seen even in her post, angalia kwa macho ya ndani utagundua how much u r valued in ma heart, unajua ukibugi hapa ndio utaniumiza seeing azas have got chance to use u,pls dont dare follow their weds, only u nid is giving a chance to this lady suprise n u wont regret even remember those 13 years,kwanza utasema kwa nini hukunijua mapema bt its not too late, start by saying yes to dina
 

ha ha.....yes??I do??
Mi nadhani hii imenipa raha zaidi Ciello..first time in my life..moyo watamani nionje huu uzoefu wako,,,
 
Last edited by a moderator:
hahahahh kusoma hujui hata picha huelewi???
beib pls kwenye ........ hivyo vitu vidogovidogo hua havionekani, mbona unataka kuntafutia visa jamani, me ntajitoa ujue haf ukipata murder case shauri ako
 
hahahahahah anahitaji lakini siyo ashee mhogo nilao mie lol...

mtafutie houseboy huyo, mie sina mashaka na hausegal coz najua ma prisoner once comitted hategeki
 

Hahahaaaaaaaaaa! WE UNACHUNWA!!!!!! SI TUNAMEGA KISELA!!!!!!!!!
 
hahahahah shukuruni MUNGU nina usingizi ningemwaga sera mpaka wenyewe mjitoe...chezeya Ciello wewe...mwanamke kujiamini bana....
rafu tatizo humu zimezidi
 
Last edited by a moderator:
Prisoner 46664 hivi ushawahi kupewa mambo adimu wewe! Mi nakaa mbali sana, Nichukulie chumba kabisaaa ili tukitoka dinner nipumzike humo! You can keep me company too! We will just Talk! LOL!

You do seem like an amazing talker babe...embu fafanua basi hii tungo kidogo?..wanna know wats in store for me..u know!!
 
ana nini? yupo yupoje hadi mnamgombania? mpambano mwema.
 
we nawe!!! hapa tunadili na prisoner...ww mzee wa migegedo nani anataka stress.....nyie ndo mnawala beki3...hahahahah
sawa sikatai ila unaweza nihakikishia kuwa papuchi yako itakuwa yangu peke ?
 
Prisoner baby mi siwezi rafu na hawa! Jst choose me i will show you some quality time and do some quality things to you! Najua unachohitaji sio afa na vizinga kama vya Ciello coz you got your own money! What you realy need ni mtu wa kukucare all the time na mie hilo jukumu ndo nimejivika!

Njoo tujipe raha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…