Prisoner 46664 Please Take Me to A Dinner Date (Nani Kuibuka Mshindi!)

hahahahah shukuruni MUNGU nina usingizi ningemwaga sera mpaka wenyewe mjitoe...chezeya Ciello wewe...mwanamke kujiamini bana....

nani kajitoa wewe, endeleza hapa, usingizi kitu gani mbele ya prisoner, all timetable r subjective to changes except dina with prisoner
 

Mmh..I can smell romance..
 
we nawe!!! hapa tunadili na prisoner...ww mzee wa migegedo nani anataka stress.....nyie ndo mnawala beki3...hahahahah

hahaha mie wala sina shida ya beki 3...mie najikamatia malaya wangu full burudani...mambo ya kununiana na mamsap ndani ya nyumba nani anayataka
 
we nawe!!! hapa tunadili na prisoner...ww mzee wa migegedo nani anataka stress.....nyie ndo mnawala beki3...hahahahah

Ciello muache mzabzab apumue kaja kujionea tu mpambano
 
we nawe!!! hapa tunadili na prisoner...ww mzee wa migegedo nani anataka stress.....nyie ndo mnawala beki3...hahahahah

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mazabzab wivu hana japo roho inamuuma kaamu kuja kutetea ufalme wake potelea pote! Prisoner aweze ana nini yeye ashindwe ana nini! Afu ana deal na post zako tu Ciello!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimechekaje JF is never boring!

Haya umepata nyangumi hilo, papa tuachie sisi!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah prisoner angalia usije ukaweka gari bond kwaajil ya dina tu....maji asili yake ni baridi hata yachemke vip yatapoa so b careful.....igweeee
 
Remember you girls,......i will Be watching you.........vita vya panzi.....but always keep it real!
 

whoooohh!!,,,u had me goin wild right hea!!,,,daayymmmm!!
 
hahahahahah Prisoner 46664 sound hilo kuwa macho aseeee!!! si wamja mamamaaa wa midolari huyo atakwenda kukuumbua huko kwenye dinner....just pick a decent smart simple lady i.e Ciello and u wont regret it 4 the ret of ur life....

Ciello mi nakushabikia lakini nahisi mwanzisha thread alishajipanga kabla na mipoint, kumshinda ni kazi.
 
watu wanaweza vya pm tu, unadhani mchezo kumtokea rijali ka prisoner hadharani , hii yahitaji mwenye penzi la dhati hasa vinginevyo utaishia vichochoroni tu kulalamika kwenye pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…