Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

kisa ni mtoto wa Rais??????????????? angekuwa wa mtoto wa mkulima je????? au kwa vile ni mtoto wa rais na kawa kilaza???? MNATAKIWA MJUE KUWA NCHINI HAPA WATOTO WA WAKULIMA SIO VILAZA LAKINI MTOTO WA JK KAWA KILAZA TENA PEKE YAKE KWENYE SHULE. HII INAONESHA NI JINSI GANI ALIVYO RIDHIKA NA MAISHA... MAANA NI KWELI KWANI KAKOSA NINI HATA AKAZE MSULI ILI ASIWE KILAZA???????????????????????????????
 
Hivi ni kwa nini vyombo vya habari vina shabiki matokeo ya mitihani ya shule za msingi hadi sekonfdari tu? Mbona matokeo ya mitihani ya vyuo vikuu hayatangazwi? Yakitangazwa (wa kurudia msomo) majina hayaandikwi isipokua namba tu? Kwa nini tuna wadhalilisha bijana wetu wa msingi na sdekondari?

Macinkus
 
Kazi kweli kweli,ukizingatia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni tutsikia mengi.
 
Angepata one ingekuwaje. Hata wa tz tunaweza kumshtaki. kapoteza hela yetu then anafeli mtihani.
 
Mbona watahiniwa wote majina yao na matokeao yao vimewekwa wazi? whats wrong na huyu mtoto?.......ingawa klam mzazi sijapenda barrage of criticism aliyoipata hapa JF...



Hivi sheria huwa inaangaliwa wakati ikimnasa mtu ambaye hakutarajiwa kuwemo,mbona matookeo yetu yanabandikwa humo humo?.
 
hakuna suala la kuvunja privacy ya mtu, ili kuepuka watahiniwa kushindwa kupata taarifa kamili ni lazima majina na namba ziwepo ili ijulikane aliyefanya mtihani ni nani, kusipo hata njia za udanganyifu baadae kwani majina yapo publically.
Huyo mtoto asome kwa bidii, ila si tatizo maji ufuata mkondo, mtoto wa nyoka ni nyoka. si ajabu kufeli, akili ni urithi pia.
 
Mkuu Matola hivi ndio vitu mnatakiwa kujifunza, sio kila mwenye mali ni fisadi!. Kama mwanasheria analipwa 5% ya contract sum na ukadraft mradi wa bilioni 200,000 unalipwa 10 Bilion safi bila zengwe!. Hivi unajua kuna mwanasheria ana charge US $ 5000 per hour kama consultation fee tuu na ni hapa hapa bongo?. Huamini mtu analipwa 10 billion kwa single transaction?. Bahati nzuri huyo jamaa aliniambia mpaka ni mkataba wa nini?.

....

Pasco, kwa uelewa wagu hakuna mwanasheria anayelipwa $5000 per hour hapa Bongo. Kunirekebisha mtaje...
 
The boundaries and content of what is considered private differ among cultures and individuals, but share basic common themes. Privacy is sometimes related to anonymity, the wish to remain unnoticed or unidentified in the public realm. When something is private to a person, it usually means there is something within them that is considered inherently special or personally sensitive. The degree to which private information is exposed therefore depends on how the public will receive this information, which differs between places and over time. Privacy partially intersects security, including for instance the concepts of appropriate use, as well as protection, of information. [h=3]Informational[/h]Main article: Information privacy.Information or data privacy refers to the evolving relationship between technology and the legal right to, or public expectation of privacy in the collection and sharing of data about one's self. Privacy concerns exist wherever uniquely identifiable data relating to a person or persons are collected and stored, in digital form or otherwise. In some cases these concerns refer to how data is collected, stored, and associated. In other cases the issue is who is given access to information. Other issues include whether an individual has any ownership rights to data about them, and/or the right to view, verify, and challenge that information.Various types of personal information are often associated with privacy concerns. For various reasons, individuals may object to personal information such as their religion, sexual orientation, political affiliations, or personal activities being revealed, perhaps to avoid discrimination, personal embarrassment, or damage to their professional reputations.Financial privacy, in which information about a person's financial transactions is guarded, is important for the avoidance of fraud including identity theft.Information about a person's purchases, for instance, can reveal a great deal about their preferences, places they have visited, their contacts, products (such as medications) they use, their activities and habits etc… So where does Mwanaasha will rely his claim/complain against Necta?
 
Binafsi nimeipenda NECTA yani hapa UFISADI waliouzoea na vimemo vimeshindwa kuaply Mwanahasha kavuna kile alichokipanda the same way kama wengine walivyovuna vya kwao! majina lazma yawekwe bayana kuzuia confusion.. Hamna cha privacy kukiukwa wala nini... Ajinyamazie tu na atafute njia nyingine ya ntoke vip!
 
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.

Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:

'…Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…'

Article 16(2) goes further stipulating that:
'…For the purpose of preserving the person's right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article…'

Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.

Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha


Bado kuna swali hapa?

"results of primary school leaving, form 4, form 6, and teacher education national examinations shall be certified and made public in an appropriate form."

Source: Education and Training Policy under chapter 11: summary of policy statements, section 6.20 The Tanzania National Website
 
Hebu wacheni porojo, angefaulu angetaka kushitaki au angeona fahari kwa kuwa angekua anamiminiwa misifa?! Get a grip
 
Hivi nyinyi mnao post humu kuhusu huyo mtoto narudia tena hamna kazi??? Mbona mna mambo ya KISHAMBA mwacheni mtoto wa watu yaani mnakaa na kufungua thread kwa ajili ya mtoto wa form four kwani alipenda babake awe raisi Acheni ushamba kama kazi hakuna kaeni muwe wasomaji.
Mnajua fika kutokana na uchumi wetu na taratibu za wizara ya elimu matokeo yanawekwa wazi sasa sio mijitu mizima kuanza kumzungimza huyo binti mnajua mnamuthiri kiasi gani!!! Kama kitu hakikugusi wala kukuathili Achana nacho dv 4 yake haikuusu.
JUA LAKO.
 
Hivi nyinyi mnao post humu kuhusu huyo mtoto narudia tena hamna kazi??? Mbona mna mambo ya KISHAMBA mwacheni mtoto wa watu yaani mnakaa na kufungua thread kwa ajili ya mtoto wa form four kwani alipenda babake awe raisi Acheni ushamba kama kazi hakuna kaeni muwe wasomaji.
Mnajua fika kutokana na uchumi wetu na taratibu za wizara ya elimu matokeo yanawekwa wazi sasa sio mijitu mizima kuanza kumzungimza huyo binti mnajua mnamuthiri kiasi gani!!! Kama kitu hakikugusi wala kukuathili Achana nacho dv 4 yake haikuusu.
JUA LAKO.

Bado umemiss point katika mjadala huu.
 
Back
Top Bottom