Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Bwa'Nchuchu, kama LL.B ya UDSM ni 'ki' LL.B, then LL.B ni ya wapi?.

Hiyo "ki" ni mtindo tu wa kuandika kuonyesha kuwa hiyo shahada ya sheria is not all it's cracked up to be...of course, only in my humble opinion.

Ila sidhani kama unaweza kulinganisha LL.B ya UDSM na J.D. ya Yale au Harvard Law schools.
 
Kitu kimoja ambacho ni wazi, ili kushika hizo super deals, one got to have connections!. Kijana ni lawyer kama my friend who is nobody amevuna more than 10 bilions in a single transaction how about somebody?!.

Ila pia kutokana na lever ya umasikini wetu, we have lots of hate preachers kwa kila mwenye nacho kumuita fisadi!. Kwetu uswazi Vogue imebatizwa jina ni gari ya mafisadi, whoever atakayeshuka toka ndani ya vogue ni fisadi hata kama umepewa lift tuu!.

Pasco, hizi Billion 10 ni Zimbabwe dollar!!?? kama ni shilling i don't buy this story.
 
Sasa kuna kitu sielewi na naomba unieleweshe. Mimi nilidhani hapo UDSM uki-disco ndo basi tena. Sasa wewe uli-disco halafu ukaendelea kusoma hapo hapo?

How did you pull that one off?
Sio kila anayepata disco ni kilaza!, kuna lots of disco zinazotolewa kwa technical na sio kwa low GPA. Yangu was a technical one na nilimaliza na GPA poa sio PASS!.

Pia inaweza ku disco sheria ukaenda sociology ukatoka na Ist Class ya GPA ya 4.5!.
 
Mbona kama sikuelewi vile...

Natambua kabisa kuwa mitihani na kufanya vizuri kwenye masomo shuleni si kipimo cha akili. Hilo kwangu halina ubishi.

Ila mtu anayekuwa 'discontinued' kwenye kozi hapo UDSM iweje tena arudi kusoma kozi hiyo hiyo aliyokuwa 'discontinued'?

Na nini tofauti ya discontinuation ya technicality na ya low grade point average?
 
Hiyo "ki" ni mtindo tu wa kuandika kuonyesha kuwa hiyo shahada ya sheria is not all it's cracked up to be...of course, only in my humble opinion.

Ila sidhani kama unaweza kulinganisha LL.B ya UDSM na J.D. ya Yale au Harvard Law schools.
Yale ndio the best school of law duniani ikifuatiwa na Harvard, sasa kuvilinganisha vyuo vyetu na huko ni sawa na kumlinganisha JK na Obama!.

Pamoja na udhaifu wetu LL.B ya UDSM ndio the best we have kwa bongo na Afrika Mashariki by then not sure now!.
 
Mbona kama sikuelewi vile...

Natambua kabisa kuwa mitihani na kufanya vizuri kwenye masomo shuleni si kipimo cha akili. Hilo kwangu halina ubishi.

Ila mtu anayekuwa 'discontinued' kwenye kozi hapo UDSM iweje tena arudi kusoma kozi hiyo hiyo aliyokuwa 'discontinued'?

Na nini tofauti ya discontinuation ya technicality na ya low grade point average?
Nakuomba fanya homework kidogo tuu kwa kuisoma prospectus ya udsm ukifanya nini unakula disco. Naomba turudi kwenye mada!.
 
Nakuomba fanya homework kidogo tuu kwa kuisoma prospectus ya udsm ukifanya nini unakula disco. Naomba turudi kwenye mada!.

Huku nilipo sina hiyo prospectus na siwezi kuipata kiurahisi.

Just give me a synoptic overview of the differences. That is if you can...
 
Pasco, hizi Billion 10 ni Zimbabwe dollar!!?? kama ni shilling i don't buy this story.
Mkuu Matola hivi ndio vitu mnatakiwa kujifunza, sio kila mwenye mali ni fisadi!. Kama mwanasheria analipwa 5% ya contract sum na ukadraft mradi wa bilioni 200,000 unalipwa 10 Bilion safi bila zengwe!. Hivi unajua kuna mwanasheria ana charge US $ 5000 per hour kama consultation fee tuu na ni hapa hapa bongo?. Huamini mtu analipwa 10 billion kwa single transaction?. Bahati nzuri huyo jamaa aliniambia mpaka ni mkataba wa nini?.

Bahati mbaya wawekezaji wakubwa wanakuja nchini wakiwa tayari na makampuni yao ya uwakili ambao ndio wanao draft hiyo mikataba mikubwa hivyo wanaofaidi hizo pesa ni malawyers wao lakini nakuoamba uamini kuna wabongo wamekula dili nene!.

Unaweza kuendelea kutoamini, jiridhishe nafsi yako kila mwenye nacho ni fisadi!. Turudi kwenye mada!.
 
Huku nilipo sina hiyo prospectus na siwezi kuipata kiurahisi.

Just give me a synoptic overview of the differences. That is if you can...
its online just click udsm prospectus angalia discontinuations utaziona sababu!.
 
Hivi unajua kuna mwanasheria ana charge US $ 5000 per hour kama consultation fee tuu na ni hapa hapa bongo?

That is a staggering amount Pasco! I hope you are not telling us tales.

Really, who commands such a fee per hour?
 
Hapo nilipobold Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia hakudrop out of university kwa sababu ya kufeli mitihani, USA kuna List of college dropout billionaires - Wikipedia, the free encyclopedia si kwamba walifeli masomo yao. Kulinganisha situation ya Bill Gates na huyo umteteaye si sahihi.
Fuata mtitiririko wa comments zangu. Nlitaka kuonyesha kusoma au kupasi mitihani sio tiketi ya kuwa na maisha mazuri, huyo drop out hakupata distinction wala A+ lakini look at him.
 
Yakifanywa siri wazazi watajuaje matokeo ya watoto wao? Itakuwa rahisi kwa wengi wa watoto kuwadanganya wazazi ama walezi wao juu ya matokeo yao. Hata kama yatafanywa siri ni lazima kuwepo na mechanism ya kuwezesha wazazi kupsta matokeo ya bila ya kupitia kwa mtoto.

Hili la kuweka wazi kwa namna fulani pia linasaidia kuwapa wanafunzi hamu ya kutia jitihada zaidi ili asipate aibu na hata kuwatia aibu wazazi wake.

Kwa staili hiyo, basi turusu pia madaktari wa-publish kwenye mitandao details za wale wote waliopimwa na kukutwa na ugonjwa wa Ukimwi. Kwa jinsi ulivyo-argue hii itasaidia kupunguza kuambukizwa kwa ugonjwa wa Ukimwi. Sawa?

Hivi kweli matokeo ya mtihani ni "private information"? Mtihani unaotungiwa na kusahihishwa na watu wengine! Watu wanayajua matokeo haya kabla hata ya wewe mwenyewe. Wote hawa watakutunzia siri kweli?

Yes, matokeo ni private information. Hao wanaotunga na kusahihisha mitihani wana wajibu kisheria ku-maitain confidentially. In deed, wanaotunga hawajui nani na nani watafanya mtihani (save kwa wale wanaowafahamu). Wale wanaosahihisha hawasahihishi kwa majina ya wahahiniwa bali kwa namba za watahiniwa. Kwa hiyo hawataweza kujua namba za watahiniwa. Kama wangesahihisha kwa majina si hata mtoto wa JK wangempa angalao division three?

Halafu bado unashindwa kutofautisha kati ya siri na faragha. Ni mpaka pale utakapoweza kutofautisha ndio utajua argumeny yangu.
 
Mfumo wa Elimu wa Tanzania bado ni ule uliotumika Ulaya wakati Industrial Revolution. Mfumo huu ulikuwa ni wa kuwashindanisha watu hili watakaofikia ngazi ya juu katika vyuo vikuu wawe maprofesa. Na watakaopata shahada za mwanzo wawe mameneja, watawala na watendaji. Na wale waliobaki wawe wafanyakazi na wakulima.

Mfumo huu haujali kuwa kila mtu ana uwezo tofauti wa kujifunza na kuelewa mambo. Na ndio maana wanafunzi wanagawanywa kwenye madarasa kama vile wako kwenye assembly lines na wanafanya mitihani kama product inayofanyiwa quality control.

Matokeo ya mfumo huu kwa Tanzania, ni ukiritimba uliokithiri. Mtu mwenye A bila kuwa na mchango au ubunifu wowote anataka kazi nzuri na alipwe vizuri. Watu wanashindwa ku-apply knowledge zao kwa sababu shule hazikuwafanya wale independent thinkers or creative.
 
watanzania tusikomae kwa issue za ujinga wa mtoto wa jk wala jk hawezi kuingia kihwani mwa mwanae na kumpandikizia akili mtoto alidanganyika na upresidawa babake na miherla ya kwao akashindwa kujua nini kimempeleka shule mimi naona ni vizuri matokeo yaanikwe wazi na hii ndo itatuwezesha kutochakachua madaraka kwa vyeti feki pia hongera necta kwa uwazi na ukweli kutuletea matokeo ya watoto wasiojua nini wamefuata shuleni pia mifedha ya kwao isitufanye kuhoji why bint kaferi jibu ni kwamba hakuweka nia ktk masomo
 
Back
Top Bottom