Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Bwa'Nchuchu, kama LL.B ya UDSM ni 'ki' LL.B, then LL.B ni ya wapi?.Pasco na hicho ki LL.B chako cha UDSM!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwa'Nchuchu, kama LL.B ya UDSM ni 'ki' LL.B, then LL.B ni ya wapi?.Pasco na hicho ki LL.B chako cha UDSM!
Bwa'Nchuchu, kama LL.B ya UDSM ni 'ki' LL.B, then LL.B ni ya wapi?.
Kitu kimoja ambacho ni wazi, ili kushika hizo super deals, one got to have connections!. Kijana ni lawyer kama my friend who is nobody amevuna more than 10 bilions in a single transaction how about somebody?!.
Ila pia kutokana na lever ya umasikini wetu, we have lots of hate preachers kwa kila mwenye nacho kumuita fisadi!. Kwetu uswazi Vogue imebatizwa jina ni gari ya mafisadi, whoever atakayeshuka toka ndani ya vogue ni fisadi hata kama umepewa lift tuu!.
Sio kila anayepata disco ni kilaza!, kuna lots of disco zinazotolewa kwa technical na sio kwa low GPA. Yangu was a technical one na nilimaliza na GPA poa sio PASS!.Sasa kuna kitu sielewi na naomba unieleweshe. Mimi nilidhani hapo UDSM uki-disco ndo basi tena. Sasa wewe uli-disco halafu ukaendelea kusoma hapo hapo?
How did you pull that one off?
Sio kila anayepata disco ni kilaza!, kuna lots of disco zinazotolewa kwa technical na sio kwa low GPA. Yangu was a technical one na nilimaliza na GPA poa sio PASS!.
Pia inaweza ku disco sheria ukaenda sociology ukatoka na Ist Class ya GPA ya 4.5!.
Yale ndio the best school of law duniani ikifuatiwa na Harvard, sasa kuvilinganisha vyuo vyetu na huko ni sawa na kumlinganisha JK na Obama!.Hiyo "ki" ni mtindo tu wa kuandika kuonyesha kuwa hiyo shahada ya sheria is not all it's cracked up to be...of course, only in my humble opinion.
Ila sidhani kama unaweza kulinganisha LL.B ya UDSM na J.D. ya Yale au Harvard Law schools.
Nakuomba fanya homework kidogo tuu kwa kuisoma prospectus ya udsm ukifanya nini unakula disco. Naomba turudi kwenye mada!.Mbona kama sikuelewi vile...
Natambua kabisa kuwa mitihani na kufanya vizuri kwenye masomo shuleni si kipimo cha akili. Hilo kwangu halina ubishi.
Ila mtu anayekuwa 'discontinued' kwenye kozi hapo UDSM iweje tena arudi kusoma kozi hiyo hiyo aliyokuwa 'discontinued'?
Na nini tofauti ya discontinuation ya technicality na ya low grade point average?
Nakuomba fanya homework kidogo tuu kwa kuisoma prospectus ya udsm ukifanya nini unakula disco. Naomba turudi kwenye mada!.
Mkuu Matola hivi ndio vitu mnatakiwa kujifunza, sio kila mwenye mali ni fisadi!. Kama mwanasheria analipwa 5% ya contract sum na ukadraft mradi wa bilioni 200,000 unalipwa 10 Bilion safi bila zengwe!. Hivi unajua kuna mwanasheria ana charge US $ 5000 per hour kama consultation fee tuu na ni hapa hapa bongo?. Huamini mtu analipwa 10 billion kwa single transaction?. Bahati nzuri huyo jamaa aliniambia mpaka ni mkataba wa nini?.Pasco, hizi Billion 10 ni Zimbabwe dollar!!?? kama ni shilling i don't buy this story.
its online just click udsm prospectus angalia discontinuations utaziona sababu!.Huku nilipo sina hiyo prospectus na siwezi kuipata kiurahisi.
Just give me a synoptic overview of the differences. That is if you can...
just like that na hakuishia hapo!.Really? He gave you ten grand (in USDs) just like that?
He must be ballin'....
Thanks we are back!.Pasco and Bwa'Nchuchu :focus:
Hivi unajua kuna mwanasheria ana charge US $ 5000 per hour kama consultation fee tuu na ni hapa hapa bongo?
just like that na hakuishia hapo!.
Fuata mtitiririko wa comments zangu. Nlitaka kuonyesha kusoma au kupasi mitihani sio tiketi ya kuwa na maisha mazuri, huyo drop out hakupata distinction wala A+ lakini look at him.Hapo nilipobold Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia hakudrop out of university kwa sababu ya kufeli mitihani, USA kuna List of college dropout billionaires - Wikipedia, the free encyclopedia si kwamba walifeli masomo yao. Kulinganisha situation ya Bill Gates na huyo umteteaye si sahihi.
Yakifanywa siri wazazi watajuaje matokeo ya watoto wao? Itakuwa rahisi kwa wengi wa watoto kuwadanganya wazazi ama walezi wao juu ya matokeo yao. Hata kama yatafanywa siri ni lazima kuwepo na mechanism ya kuwezesha wazazi kupsta matokeo ya bila ya kupitia kwa mtoto.
Hili la kuweka wazi kwa namna fulani pia linasaidia kuwapa wanafunzi hamu ya kutia jitihada zaidi ili asipate aibu na hata kuwatia aibu wazazi wake.
Hivi kweli matokeo ya mtihani ni "private information"? Mtihani unaotungiwa na kusahihishwa na watu wengine! Watu wanayajua matokeo haya kabla hata ya wewe mwenyewe. Wote hawa watakutunzia siri kweli?