Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,500
Pasco ulipona sup ya prof fimbo? je prof kabudi na family law pia ulipona au umesoma law recenlty??
wanaobeza law ya UDSM nawaona hawaelewi.
pale ukipata C ni sawa na mtu aliepata A ya vyuo vingine bongo.LLB ya UDSM ina quality kubwa ikifuatiwa na Mzumbe
wanaomba masters LLM na LLD vyuo vya nje tunakubaliwa bila zengwe.
tukirudi kwenye mada Data protection law ni muhimu sana kwa maslahi ya kulinda personal information zetu.itakomesha mapaparazi wanaondika habari za watu ili kuuza gazeti bila idhini,wanaofumaniwa na kuandikwa magazetini itakoma pia,watu kuuza habari zako binafsi ili kujinufaisha nk hata hili la kutoa personal information kwenye mitandao itakoma,kwa wenzetu hili wameweza sana.