Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Pasco ulipona sup ya prof fimbo? je prof kabudi na family law pia ulipona au umesoma law recenlty??
wanaobeza law ya UDSM nawaona hawaelewi.
pale ukipata C ni sawa na mtu aliepata A ya vyuo vingine bongo.LLB ya UDSM ina quality kubwa ikifuatiwa na Mzumbe
wanaomba masters LLM na LLD vyuo vya nje tunakubaliwa bila zengwe.
tukirudi kwenye mada Data protection law ni muhimu sana kwa maslahi ya kulinda personal information zetu.itakomesha mapaparazi wanaondika habari za watu ili kuuza gazeti bila idhini,wanaofumaniwa na kuandikwa magazetini itakoma pia,watu kuuza habari zako binafsi ili kujinufaisha nk hata hili la kutoa personal information kwenye mitandao itakoma,kwa wenzetu hili wameweza sana.
 
Kwa hiyo ubora wa hiyo elo elo bii ya UDSM unatokana na uhaba wa upatikanaji wa alama za A na B kwa wanafunzi wanaosomea sheria hapo?

Hiyo kozi ya sheria hapo UDSM siyo ngumu kama wengi mnavyotaka tuamini. Na kwa ujumla kozi ya sheria siyo ngumu!
 
mimi naweza kuwa waklili wake akitaka tena bure

Ha ha haaaaaaaaaaaa mkuu mwanakondoo huyo! Tukukabidhi! Dah haya bana. Hivi alisoma shule gani vile? Naweza kukusaidia baadhi ya sheria ili ushinde hii kesi aseeeeeeee! Tushirikiane kwa karibu.
 
Mfumo wa Elimu wa Tanzania bado ni ule uliotumika Ulaya wakati Industrial Revolution. Mfumo huu ulikuwa ni wa kuwashindanisha watu hili watakaofikia ngazi ya juu katika vyuo vikuu wawe maprofesa. Na watakaopata shahada za mwanzo wawe mameneja, watawala na watendaji. Na wale waliobaki wawe wafanyakazi na wakulima.

Mfumo huu haujali kuwa kila mtu ana uwezo tofauti wa kujifunza na kuelewa mambo. Na ndio maana wanafunzi wanagawanywa kwenye madarasa kama vile wako kwenye assembly lines na wanafanya mitihani kama product inayofanyiwa quality control.

Matokeo ya mfumo huu kwa Tanzania, ni ukiritimba uliokithiri. Mtu mwenye A bila kuwa na mchango au ubunifu wowote anataka kazi nzuri na alipwe vizuri. Watu wanashindwa ku-apply knowledge zao kwa sababu shule hazikuwafanya wale independent thinkers or creative.

Hili jiwe ni bonge la challenge mkuu Zakumi umeangalia suala zima kwa kina kirefu.

Katika mfumo huu watu ambao wana talent zisizo conventional kama kina Bill Gates na Steve Jobs, ambao wanaweza kuwa independent thinkers ambao darasani si lazima wafanye vizuri, tunawatupa na kuwapuuza.

Ujue mie najiuliza sana, hivi nchi za wenzetu zimetoa na zinatoa wavumbuzi wengi, sie tunazembea, kwa nini?

Ni kwa sababu hatuna wakali katika fields tofauti? Mamilioni yote ya watu haya? Jibu ni mfumo mbaya. Hatuwezi kufanya the most out of everything. Wakati wenzetu hata mtu mwenye mtindio wa ubongo ana sehemu yake katika jamii na anafundishwa kivyake, sie mtu ana akili zake nzuri tu kashindwa mtihani wa siku moja tushampaka stigma ya maisha yote.
 
Ujue mie najiuliza sana, hivi nchi za wenzetu zimetoa na zinatoa wavumbuzi wengi, sie tunazembea, kwa nini?

Ni kwa sababu hatuna wakali katika fields tofauti? Mamilioni yote ya watu haya? Jibu ni mfumo mbaya.
Hicho ndio kinachotuangusha ndugu yangu, hatuna ubunifu. Moja ya mifumo hiyo unayoisema mwanazuoni mmoja wa Kizambia anaiongelea kama ni kutokana na mfumo wa kutegemea kazi za kuajiriwa!

``It is true that since independence we have failed to nurture creativity and collective orientations. We as a nation lack a workhorse mentality and behave like 13 million civil servants dependent on a government pay cheque. We believe that development is generated 8-to-5 behind a desk wearing a tie with our degrees hanging on the wall. Such a working environment does not offer the opportunity for fellowship, the excitement of competition, and the spectacle of innovative rituals''

Soma article nzima hapa (ambayo nilitumiwa na mwana JF hivi karibuni.)
 
Katika mfumo huu watu ambao wana talent zisizo conventional kama kina Bill Gates na Steve Jobs, ambao wanaweza kuwa independent thinkers ambao darasani si lazima wafanye vizuri, tunawatupa na kuwapuuza.

Well, si kuna zile shule sijui za vipaji maalumu....sasa mimi kila mara huwa najiuliza wanatumia vigezo gani ku identify hivyo vipaji maalumu? Just scoring high on an exam qualifies one to have kipaji maalumu? I think not.

Mfumo mzima wa elimu nchini ni mbovu kupindukia.

Inadaiwa kuna mtahiniwa alishuka mistari ya bongo fleva kwenye karatasi zake za mitihani na watu wamemponda kweli. Lakini sijasikia hata mmoja akimtetea kuwa pengine labda huyo bwana mdogo aliona anapoteza tu muda wake kukaa darasani kwa miaka 4 na kuishia kufanya mtihani wa taifa.

Mtu kama huyo usikute ana kipaji cha muziki au sanaa tu kwa ujumla. Sasa kukaa darasani na kupata formal education kwake is a waste time and his/her talents.

Angeweza kwenda kwenye performing arts academy ambayo inatoa equivalent ya hizo secondary school diplomas na kuendeleza kipaji chake huko kuliko kukaa darasani na kusoma mambo ambayo hana hata muda nayo.

Lakini hapana...nilichosikia ni kupondwa tu kwa kitendo hicho alichofanya. Watu wanasahau kuwa formal education is not for everybody!

Hebu cheki hivi vipande kuhusu Lakehurst Performing Arts Academy in Lakehurst, New Jersey.....

The Performing Arts Academy is a four-year public high school administered by the Ocean County Vocational Technical School District. It is a part of the Navy Lakehurst Center located at the Lakehurst Naval Air Engineering Station.

The Academy opened in September, 2001 for students entering the 9th grade. The Academy is designed to provide performing arts curricula focused in dance, vocal music, and acting, along with a college preparatory academic program.

The school exists to provide a unique, nurturing, and challenging learning environment for students living in Ocean County who are gifted in the performing arts.

The Mission of the Performing Arts Academy is to provide an academically challenging education for creatively gifted high school students.

Enhanced performing arts training will empower graduates with the practical skills for higher education and/or a professional career in the arts.

Our unique teaching philosophy strives to incorporate the arts into all educational areas by integrating curriculum and by interaction with professionals from the arts industry.

Sasa huyo bwa'mdogo aliyeshuka mistari ya bongofleva kwenye pepa angepelekwa kwenye shule kama hii si ajabu angeweza kufanya vizuri sana.
 
Pasco ulipona sup ya prof fimbo? je prof kabudi na family law pia ulipona au umesoma law recenlty??
wanaobeza law ya UDSM nawaona hawaelewi.
pale ukipata C ni sawa na mtu aliepata A ya vyuo vingine bongo.LLB ya UDSM ina quality kubwa ikifuatiwa na Mzumbe
wanaomba masters LLM na LLD vyuo vya nje tunakubaliwa bila zengwe.
tukirudi kwenye mada Data protection law ni muhimu sana kwa maslahi ya kulinda personal information zetu.itakomesha mapaparazi wanaondika habari za watu ili kuuza gazeti bila idhini,wanaofumaniwa na kuandikwa magazetini itakoma pia,watu kuuza habari zako binafsi ili kujinufaisha nk hata hili la kutoa personal information kwenye mitandao itakoma,kwa wenzetu hili wameweza sana.
Mkuu Lokissa, sup ya Fimbo nililamba kenye land, Kabudi ndio alikuwa supervisor wangu you can imagine!. Bado nalia na walimu wa sheria UDSM, kubania ndio zao!.
Tukirudi kwenye mada, sheria za "the right to privacy", zipo tatizo ni application tuu, wengi wanaokashifiwa kwenye haya magazeti ya vichochoroni hawajui haki zao, na wanaojua, umasikini wa kushindwa kuajiri wakili unawakumba. Kwa sheria zetu hatuna "pro bono", vinginevyo badala ya kuandika habari, kazi yangu ingekuwa kuwatetea bure wanaokashifiwa magazetini na kugawana mapato!.
Sheria mpya ya SOSPA pia ina vipengele kibao vya "right to privacy" ili kuwalinda wanaotukanwa mitandaoni, regulations zitatoka mwaka huu ili ianze kufanya kazi, hata uhuru huu tulionao jf, utakuwa chini ya sheria, mtu hawezi kujizushia chochote na akaachwa!.
Kwangu tatizo kubwa ni uchache wa mawakili kuwasaidia Watanzania kupata haki zao!.
 
mkuu pasco hizo sheria ulizotaja zinarestrict right to privacy na sio kuprotect right to privacy
kuna vitu viwili tofauti hapo. katiba yetu ibara ya 16 ipo wazi inatoa mwangaza wa kuanzishwa sheria hiyo rasmi
lakini hadi leo hatuna.Tanzania hatuna sheria DATA PROTECTION LAW.
kuna mdau kauliza LLB ya UDSM sio ngumu,kweli sio ngumu lkn walimu wake sio kuwa wanabania bali hawagawi marks kufurahisha watu au kujitafutia ujiko kama vyuo vingine vinavotoa A lakini wakija ktk practicee hata kuandika plaint aibu tupu.uzoefu unaonyesha wanaopratcice from UDSM na MZumbe wako juu.I have been into practice and i know them.
sijakuona ww ukipractice pasco like mwakyembe alikuwa mwandishi hata Nyalonyo kicheere ni wanasheria na waandishi pia ingawa Mwakyembe aliacha uandishi ila Nyalonyo Kicheere bado yupo kote kote.

mkuu pasco hizo sheria ulizotaja zinarestrict
right to privacy na sio kuprotect right to privacy
kuna vitu viwili tofauti hapo. katiba yetu ibara ya 16
ipo wazi inatoa mwangaza wa kuanzishwa sheria hiyo rasmi
lakini hadi leo hatuna DATA PROTECTION LAW.
kama kabudi alikuwa supervisor wako natumai disertation
yako itakuwa imeenda shule itabidi nku PM nijue ulifanyia area gani

kuna mdau kauliza LLB ya UDSM sio ngumu,kweli sio ngumu lkn walimu wake sio kuwa wanabania bali hawagawi marks kufurahisha watu au kujitafutia ujiko kama vyuo vingine vinavotoa A lakini wakija ktk practice hata kuandika plaint aibu tupu.uzoefu unaonyesha wanaopratcice from UDSM na MZumbe wako juu.I have been into practice and i know them.
sijakuona ww ukipractice pasco like mwakyembe alikuwa mwandishi hata Nyalonyo kicheere ni wanasheria na mwaandishi pia ingawa Mwakyembe aliacha uandishi ila Nyalonyo Kicheere bado yupo kote kote.
big up our legal analyst.
 
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.

Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:

‘…Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…’

Article 16(2) goes further stipulating that:
‘…For the purpose of preserving the person’s right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article…’

Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.

Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha

Hiyo siyo justiciable right, vilevile iyo ibara ipo ktk chapter ya directives principals.
Kwa mujibu ya katiba hii ya mwaka 77 hakuna haki iliyokiukwa hapo.
Constitution law ni kitu ingine aisee.
 
mkuu pasco hizo sheria ulizotaja zinarestrict right to privacy na sio kuprotect right to privacy
kuna vitu viwili tofauti hapo. katiba yetu ibara ya 16 ipo wazi inatoa mwangaza wa kuanzishwa sheria hiyo rasmi
lakini hadi leo hatuna.Tanzania hatuna sheria DATA PROTECTION LAW.
kuna mdau kauliza LLB ya UDSM sio ngumu,kweli sio ngumu lkn walimu wake sio kuwa wanabania bali hawagawi marks kufurahisha watu au kujitafutia ujiko kama vyuo vingine vinavotoa A lakini wakija ktk practicee hata kuandika plaint aibu tupu.uzoefu unaonyesha wanaopratcice from UDSM na MZumbe wako juu.I have been into practice and i know them.
sijakuona ww ukipractice pasco like mwakyembe alikuwa mwandishi hata Nyalonyo kicheere ni wanasheria na waandishi pia ingawa Mwakyembe aliacha uandishi ila Nyalonyo Kicheere bado yupo kote kote.
Lokisaa, sio Mwakiyembe na Nyaronyo, hata Kabudi, Mvungi na Mlimka wote walikuwa waandishi, walipogeukia sheria, uandishi wakaweka kando. Mimi nitapractice baada ya 2015, kwa sasa, nina deni kwenye sekta ya habari nataka nililipe kwanza ndipo niondoke.

Data protection act, itahusu personal particulars na vitu kama bio data na biometrick, ukiomba kazi utatangazwa, ukichaguliwa utatangazwa na ndio maana particulars za wabunge ziko public pale kwenye website yao.

Kama sisi tunafuata comon laws ambazo haziruhusu picha wa video kamera mahakamani, kila siku tunazishuhudia kwenye media zetu, itakuwa hii ya matokeo kufanywa siri?.
 
Hili jiwe ni bonge la challenge mkuu Zakumi umeangalia suala zima kwa kina kirefu.

Katika mfumo huu watu ambao wana talent zisizo conventional kama kina Bill Gates na Steve Jobs, ambao wanaweza kuwa independent thinkers ambao darasani si lazima wafanye vizuri, tunawatupa na kuwapuuza.

Ujue mie najiuliza sana, hivi nchi za wenzetu zimetoa na zinatoa wavumbuzi wengi, sie tunazembea, kwa nini?

Ni kwa sababu hatuna wakali katika fields tofauti? Mamilioni yote ya watu haya? Jibu ni mfumo mbaya. Hatuwezi kufanya the most out of everything. Wakati wenzetu hata mtu mwenye mtindio wa ubongo ana sehemu yake katika jamii na anafundishwa kivyake, sie mtu ana akili zake nzuri tu kashindwa mtihani wa siku moja tushampaka stigma ya maisha yote.

Na ndio maana naipenda Marekani. Spirit ya nchi hii ni Cinderella stories and humble beggining.
 
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to see results of other students and a daughter of President of URT being disclosed without approval from a person concern.

Of course this does not mean that right to privacy is not recognized in Tanzania. The United Republic of Tanzania (URT) Constitution of 1977 as amended form time to times defines privacy as follows:

'…Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…'

Article 16(2) goes further stipulating that:
'…For the purpose of preserving the person's right in accordance with this Article, the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence may be encroached upon without prejudice to the provisions of this Article…'

Article 16(1) and (2) of United Republic of Tanzania Constitution of 1977 as amended from time to time provides for right to privacy. Article 16(2) of URT constitution provides for possibility of other laws to encroach the right to privacy. The said article stipulates clearly that the law maker will enact law to stipulate how privacy right may be protected, pursued or encroached by government agents.

Mytake; Mwanaasha atashitaki Necta?
:nerd:
Nawakilisha

Nonsense
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka!
Ni challenge kwa Vingnge wengine watoto wao wafanye vyema as they have everything kwa nini waferi!
 
Elimu na siasa wapi na wapi?
Necta nawapa big up coz wanampa mtahiniwa 100%,halafu mtahiniwa anachukua anazihitaji,
"matokeo ya mwanafunzi yana muhusu mwenyewe na cio necta"
 
Ukubwa una mambo, ukitaka amani kubali matokeo. Kwa hili inaweza ikawa mwanzo wa watoto wa wadogo kufichiwa siri.
Ni vyema angekaa kimya sababu kila mtanzania atakayesoma au kusikia habari hii atapenda kujua matokeo yako. By the way, hivi mtoto wa raisi ni raisi pia? Amejisahau na kwa hili wanasaikolojia wanisaidie, najua hawezi kufaulu.
 
Back
Top Bottom