Dogo anataka 'my wake' apigiwe makofi na kila mtu.Hii hatari sanaBaada ya kutoa tunu ya Manhood ndo amekua hapo na hivyo alivyo sasa. Wala sio wa kumshangaa kabisa.
Ndo hulka inayomjia automatically, ila anashindwa kujizuia hata kwa kiasi lol.
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sanaHersi hapo ashindwe mwenyewe tu lakini arawa ni kama anamwambia Hersi 'mwili wako huu fanya utakalo' na ile sauti yake ya kubana pua. Uchawa ni ugonjwa mbaya sana
Sio vibya kuanzia chiniHuyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
Kamemaliza degree ya Law UDOM.Inaelekea Law School aliogopa mziki wake.Ipo siku walimchachafya kule kwa page yake kuhusu hilo alimute comment na kufuta kabisa post.Kabisa ,mchaga anaetafuta hela kwa kuwa chawa.Halafu ans degree ya Law eti ,sijui ni kweli ?Kama ni kweli sijui kwa nini hakwendi Law school na pesa anayo ,walau amiliki Law firm akiwa wakili.
Hahahah,yaani kweli mchaga lazima angeenda Law school na angekuwa wakili msomi na kufungua firm yake apige hela. Au ni degree ya chupi ukute. Huyu mrombo eti anapumuliwa, sijui ni kweli.Kuna mahali nilisoma watu wanamwambia ajenge kwao maana kuna nyumba ya udongo ,vile siku hizi anajiona Bharesa.Kamemaliza degree ya Law UDOM.Inaelekea Law School aliogopa mziki wake.Ipo siku walimchachafya kule kwa page yake kuhusu hilo alimute comment na kufuta kabisa post.
Ni vibaya kuwacheka ambao bado wapo chini,ukizingatia na wewe umetokea chini.Siku hizi anajiona kazaliwa na Said Mohamed.Sio vibya kuanzia chini
Ndo shida ya kulea watoto kimayaimayai!! Anataka kufanyiwa kila kitu wahuni wakasema usituchezee, vua ubingwa kaa paleeeDaaah nimechoka baada ya kuckia anavuliwa ubingwa.
Ali Kamwe , nasikia hadi ndoa ilimshinda. Ni chakula ya wanaume wenzake.Hawa madogo wa Yanga ni mashoga waliwaji
Hahahah,yaani kweli mchaga lazima angeenda Law school na angekuwa wakili msomi na kufungua firm yake apige hela. Au ni degree ya chupi ukute. Huyu mrombo eti anapumuliwa, sijui ni kweli.Kuna mahali nilisoma watu wanamwambia ajenge kwao maana kuna nyumba ya udongo ,vile siku hizi anajiona Bharesa.
DuhSiku alivyoongea shombo kuhusu wapanda dala dala mbona watu walimfunua uhalisia wa maisha ya nyumbani kwao.Ziliwekwa hadi picha za nyumbani kwao ni aibu sana ukilinganisha na shombo zake mitandaoni.
Hilo la kupumuliwa inawezekana kabisa maana alikuwa na mchumba lakini baada ya kuajiriwa tu Yanga na uchumba ukafa kabakia kumsifia Boss (??) wake 24/7
Hamna mwanaume tena hapo.Ukishaona kijana tena wa kichagga kageuka kuwa chawa, muogope sana.Wanaume wa kichaga ni wapambanaji kwenye maisha,huyu Mrombo yeye kageuka kuwa chawa,kutwa kupiga mayowe kama Mwijaku.Warombo okoeni huyu dogo anawatieni aibu.
Upuuzi huo ndiyo aliokimbia Feisal,sasa huyu anaona dili kupumuliwa.Siku alivyoongea shombo kuhusu wapanda dala dala mbona watu walimfunua uhalisia wa maisha ya nyumbani kwao.Ziliwekwa hadi picha za nyumbani kwao ni aibu sana ukilinganisha na shombo zake mitandaoni.
Hilo la kupumuliwa inawezekana kabisa maana alikuwa na mchumba lakini baada ya kuajiriwa tu Yanga na uchumba ukafa kabakia kumsifia Boss (??) wake 24/7
[emoji23][emoji23][emoji23]R.I.P Malinda yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnfanyakaz wa instagraamHuyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni kumchafua mrombo wa watuHersi hapo ashindwe mwenyewe tu lakini arawa ni kama anamwambia Hersi 'mwili wako huu fanya utakalo' na ile sauti yake ya kubana pua. Uchawa ni ugonjwa mbaya sana