Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Dogo anataka 'my wake' apigiwe makofi na kila mtu.Hii hatari sanaBaada ya kutoa tunu ya Manhood ndo amekua hapo na hivyo alivyo sasa. Wala sio wa kumshangaa kabisa.
Ndo hulka inayomjia automatically, ila anashindwa kujizuia hata kwa kiasi lol.