SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yeye yupo kumsifia basha wake tu,anawaabisha warombo wenzake sanaHuyo dogo alisoma vizuri kadi ya mwaliko ..Raisi ndiye aliyealika watu waje na sio yanga. Mtu akialikwa anamheshimu yule aliyemwalika Kwa kuona anastahili..
Kwenye kupumuliwa hapo ndipo tunakosea wakuuHahahah,yaani kweli mchaga lazima angeenda Law school na angekuwa wakili msomi na kufungua firm yake apige hela. Au ni degree ya chupi ukute. Huyu mrombo eti anapumuliwa, sijui ni kweli.Kuna mahali nilisoma watu wanamwambia ajenge kwao maana kuna nyumba ya udongo ,vile siku hizi anajiona Bharesa.
Vita haichagui silaha wewe.Kwenye kupumuliwa hapo ndipo tunakosea wakuu
Mimi napenda watu tujenge hoja haya maneno sio sahihi kabisa
[emoji2936][emoji2935]Vita haichagui silaha wewe.
HahahaVita haichagui silaha wewe.
Why Jemedari Haitwi Shoga?Ukiona mtu anaitwa shoga ujue ni kuna ka ukweli.Hahaha
Lakini mimi huwa nashangaa sana watanzania kwenye ugomvi watakuzushia wewe shoga
Mimi mtu akinitania hivyo naweza mtafta popote pale tuonyeshane uanaume
Hamna labda way priva amekaaWhy Jemedari Haitwi Shoga?Ukiona mtu anaitwa shoga ujue ni kuna ka ukweli.
Habari za tajiri muulize maskiniAna degree ya law kutoka udom
na kipindi yupo clouds alikua anasoma masters ya mass communication
Muda mwingine wanajisahau kwamba kuna watu wanajua mapito yao tena ya aibuHuyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
Hii usemi ni kuwakatisha tamaa watu.Hakuna ukweli wowote.Unamjua Elon Musk, ?Yule anajua habari za watu hatari.Na yeye ni maskini ?Habari za tajiri muulize maskini
Mhh kila nikisoma ulichoandika napata makengeza alie elewa anijuze jaman. Dogo hana pesa na hiyo digiriii hebu wakuambie ukweliKabisa ,mchaga anaetafuta hela kwa kuwa chawa.Halafu ans degree ya Law eti ,sijui ni kweli ?Kama ni kweli sijui kwa nini hakwendi Law school na pesa anayo ,walau amiliki Law firm akiwa wakili.
Hana degree ama?Ila ukweli ni kuwa kawa na maisha mazuri,ukilinganisha na kipindi anafanya kazi kwa Dauda.Mhh kila nikisoma ulichoandika napata makengeza alie elewa anijuze jaman. Dogo hana pesa na hiyo dogiriii hebu wakubie ukweli
Sio unasikia, huo ndo uhalisia mke wake aliondoka akamuacha, na yeye mwenyewe alithibitisha kwenye mahojiano ya TVAli Kamwe , nasikia hadi ndoa ilimshinda. Ni chakula ya wanaume wenzake.
Ana maisha mazuri au ana simu nzuri inayopiga picha nzuri. Mkuu dunia iko mamboHana degree ama?Ila ukweli ni kuwa kawa na maisha mazuri,ukilinganisha na kipindi anafanya kazi kwa Dauda.
Mwanaume hawezi muda wote anapaka lipshineSiku alivyoongea shombo kuhusu wapanda dala dala mbona watu walimfunua uhalisia wa maisha ya nyumbani kwao.Ziliwekwa hadi picha za nyumbani kwao ni aibu sana ukilinganisha na shombo zake mitandaoni.
Hilo la kupumuliwa inawezekana kabisa maana alikuwa na mchumba lakini baada ya kuajiriwa tu Yanga na uchumba ukafa kabakia kumsifia Boss (??) wake 24/7
Mzazi usipotengeneza maisha ya watoto wako na kujijenga kiuchumi mwisho wataosumbuka ni watoto wako.Watoto wa Barekhesa pia?Mo Dewji pia?
We unaamini unaweza anzia chini hadi kufika alipo yeye?Ndio maana wao ni wachache,lakini uyo bakhresa akuwa tuu tajiri,alianzia chini uku,Aya ao watt asingekuwa baba still wangeanzia chini
Ingekuwa mwaliko watolewa na Yanga, kuna watu wengi usingewaona pale.Huyo dogo alisoma vizuri kadi ya mwaliko ..Raisi ndiye aliyealika watu waje na sio yanga. Mtu akialikwa anamheshimu yule aliyemwalika Kwa kuona anastahili..