Probably, but huyo Nick ni mhuni na huyo Chopra pia alitaka kujiweka Hollywood na kuishi Marekani ( wahindi wanapenda sana kuishi Marekani ).
Wakati ndoa yao inafungwa, wahindi walikuwa wanamponda sana Chopra kwamba why kaolewa na mtu wa nje wakati wahindi wapo ( Ukichukulia alikuwa Miss World )
Baadaye, wakashangaa media za US zikaanza kumponda Chopra kuwa yeye ndio kalazimisha Nick ( ambaye ni mdogo kiumri ) amwoe ili aweze kupenya Hollywood.
Kutoka kuona kama Mzungu ndio kapata faida mpaka, Ikabidi wahindi tena waanze kumtetea mtu wao.
Wazungu hawana shobo kabisa na hawa viumbe.