Pro-CCM wengi ni Antisocial na wana Msongo mkubwa wa mawazo

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.

No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!

Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr.

Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
 
Tatizo wanakuwa na matarajio mengi kwa CCM pengine kuambulia teuzi wanajikuta wanawekwa pembeni wanateuliwa waliotoka vyama pinzani hasa Chadema. Kwa Hali hiyo lazima uvurugwe na umuone kila mnayetofautiana itikadi ni adui. Ndo mana wana sonona kuliko hata za Dk. Bashiru.
 
Hahaahaaha au za Polepole....

IMG_20210910_124755.jpg
 
Tatizo wanakuwa na matarajio mengi kwa CCM pengine kuambulia teuzi wanajikuta wanawekwa pembeni wanateuliwa waliotoka vyama pinzani hasa Chadema. Kwa Hali hiyo lazima uvurugwe na umuone kila mnayetofautiana itikadi ni adui. Ndo mana wana sonona kuliko hata za Dk. Bashiru.
Kuna mmoja amefura baada ya kuenguliwa ukatibu wilaya.
 
Tatizo wanakuwa na matarajio mengi kwa CCM pengine kuambulia teuzi wanajikuta wanawekwa pembeni wanateuliwa waliotoka vyama pinzani hasa Chadema. Kwa Hali hiyo lazima uvurugwe na umuone kila mnayetofautiana itikadi ni adui. Ndo mana wana sonona kuliko hata za Dk. Bashiru.
Hata maisha yao wengi wao yanakuwa ya kubahatisha tu
 
Back
Top Bottom