Pro-CCM wengi ni Antisocial na wana Msongo mkubwa wa mawazo

Kuipigania dola ya kidikteta ni kazi nzito sana. Inatakiwa uwe na akili pana inayohimili mikingamo kibao. Vinginevyo, utachanganyikiwa na kuanza kumwaga comment uchwara kama wadau fulani hapa. Ni mwendo wa kufoka na kuzomea tu.

Ukibahatika unaishia kuwa mwanafalsafa (paskali) au mwanamizaha (comedian) - yohanambatizaji 😂
 
Hahahhahaha hebu soma kWa utulivu, usiwe too much obsessed na definition na urefu wa maandiko, kwahio ulitaka
Umeiweka vyema sana
 
huko ndiko msongo waliourithi toka kwa mfalme jiwe ulikowafikisha
 
Ukichunguza CCM wengi ni vilaza kama viongozi wao. Ndo maana unaona viongozi wengi siku hizi wanachukuliwa kutoka upinzani
 
Ccm Wanaweza teuzi tu na majungu wakati wenza wako bize brela, tra, tic, bank, tpsf, wanasaka fursa za kuwekeza wanakuja huku tayari wameishafanya connection, wakati maccm yanabishana nani zaidi katiya jpm na ssh
 
Hakuna watu wenye stress kama chadema ndio maana Kila sekunde ni nyuzi za kulalamika tu, na matusi kwao ndio salamu na hii yote ni stress zinawasumbua
 
Wafuasi wa chadema ni watu waliokata tamaa ya maisha na Wana msongo wa mawazo tazama tu threads zao au comment zao utajua
[emoji23][emoji1787]
 
Pinga pinga iliasisiwa na mr #dishlimetilt, vijana wote wa chadema wakafuata bila hata kujiuliza mara mbili kuhusu madhara yake.
Aliyewaita nyumbu hakuwa mbali na ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…