Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Wewe sio Mungu hadi umuapie hivyo,na huenda M/Mungu aliyaruhusu hayo ili amuepushie matatizo ya kuishi na wewe!
 
Kula like 10000000
 
Usikariri
 
Single mothers nawapendaga sana, ukimugusia kumuoa tu siku hiyohiyo unakaribishwa kwake na unakula mzigo bila dhida.
 
Single mothers nawapendaga sana, ukimugusia kumuoa tu siku hiyohiyo unakaribishwa kwake na unakula mzigo bila dhida.
Kama uliwapitia wachache usiwajumlishe wote kuwa na tabia hiyo, kwa kidudu gani ulichonacho cha kuweza kuthibitisha hilo?wape heshma Dada zako ndugu,
 
Usikariri ndugu huo utafiti wako sijui wa wapi.?me nimeolewa nikiwa singo mama tena nime someshwa kuanzia A level mpaka chuo na kijana tumefunga ndoa akiwa na miaka 32 tunapendana tuna heshimiana
unaweza kua 1 kati milioni 20.
 
Duuuuh imenichekesha maana ndo ukweli huo....daaah
 
Hizo ni hisia zako, na huenda zimetokana na uzoefu wako binafsi, ila sio lazima iwe hivyo, kuna wanawake wengi wenye mtoto wameolewa bila shida, wanafurahia ndoa zao na pia kuna wadada kibao hawajaolewa na wala hakuna dalili ya kuolewa, pamoja na kwamba hawana watoto. Hiyo ni dhana potofu, tatizo sio kuwa na mtoto, tatizo ni kuwa na sifa za kuolewa, waoaji wanaangalia sifa bora za mke na haijalishi kama ana mtoto ama hana. Kama wewe mdada unahisi huolewi kwasababu una mtoto, huo si mtazamo sahihi, jiangalie upya, yawezekana huolewi kwasababu huna sifa za kuolewa na wala si kwasababu una mtoto. Kuna wadada wenye nafasi kubwa sana ya kuolewa pamoja na kwamba wana watoto, kwasababu ya ubora wao wa kuwa mke.
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
tuwe wakweli tu,kwa jamii yetu ya kitanzania ndugu wakijua unaenda kuoa mwanamke mwenye mtoto kwanza linakuwa gumzo.Utasemwa mpaka basi,wengi huikimbia aibu hii.
 
Swali dogo la kizushi... wewe uliyeoa mwanamke asiye na mtoto.... una uhakika watoto unaolea ni wako??

Tuliokula chumvi nyingi tunasema... ni bora ulee mtoto unayejua si wako kuliko kulea mtoto unayedhani ni wako kumbe si wako. Ujinga wako ni mtaji wako.

Single mothers are the best wives... wameshajua machungu ya mahusiano and they are there to stay.

Moral: Toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Single mothers hawakujipa mimba wenyewe. Kuna single fathers kibao mtaani.

Aliyenisikia na kunielewa na aenende katika njia za haki.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…