Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Mleta uzi mi sikupendi kwakuwa umesema ukweli mtupu.

Wadada single najua inawauma sana,iwe funzo kwa wadada wanaoona umri umeenda wasubiri wakati wa Bwana, hata Sarah alisubiri !
 
mmh yaani unawaogopa single mothers hao wengine unawajua vizuri? yes hawana watoto lakin wameshatoa mimba kibao,
 
wanaume wengi tupo ivyo angelita hata mm siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwenzangu! lazima nitafute mtoto jojo ndio nioe siwez kuoa single mother
 
wengi wanaounga mkono hoja naona kama ni jinsia tofaut na ME
 
Mama nimekupendaje?Umenipa raha kumoyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa katika Jamii jambo la wadada kuwa na mtoto haileti picha nzuri na ni kweli wachache sana huolewa
Katika hili nina mifano hao,Mfano mdada aliishi na huyu mwanaume km mke na mume, wakazaa na mtoto lakini huyo mwanaume kutoka na sababu zake anaamua kumuacha mdada watu je utasema huyu mdada alipenda kuzalishwa?
Naona ifike sehemu wanaume tubadirike tusichukulie suala la hawa wadada kuzaa ni u.ma.la.ya wakati hapo hapo utakuta wewe unayemkataa una watoto watatu kutoka kwa wanawake tofauti tofauti
 
Uongo mtupu.

Dunia hii kuna wanaume haswa ambao hawaogopi majukumu. Na wanachukulia kuleta mtoto kama kitu Cha kawaida tu.

ni mwanaume/vijana ambao wamebalehe lakini wamekataa kukua kiakili na kimwili. Ndio wanaokimbia majukumu.
 
Kwa mawazo haya inaonyesha ni jinsi gani upeo wa watanzanie ulivyo mdogo,siku hizi mtu akiwaza ujinga tu basi ana upost.
 
Natafuta mchumba SINGLE MOTHER! Kama yupo hapa naomba ani-pm....
 
Hongera zenu nyie mliooa na mnaooa wanawake wabichi! Iila hiyo haimaanishi kutakua na amani na furaha kwenye ndoa... Kila siku ndoa zinavunjika na michepuko inaongezeka. Wengi hamjui kupenda ndo mana hili swala linawasumbua sana. Kwa taarifa yenu kuna wanawake kibao wana watoto kisirisiri! So we danganyika kua hujaoa singo mother! Labda kama umeoa bikra!
 
Ila ninyi wakala hizo mimba ni 99.999999999
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…