Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Yupi anameremeta kat ya aliezaa mtt wake na alietoa mimba kwa kuogopa kua sngo mom?kwhyo matarumbeta na vgelegele apigiwe alietoa mimba sindio?
Hahahaha nilitaka kuuliza hilo swali
Mwanaume mwenye akili na busara hakurupuki kama huyo
 
Usiwakatishe moyo wadada wa watu. Bado kuna wanaume wanaopenda kikwelikweli! Na mwanaume akikupenda hatojali kama una mtoto.
Nawafahamu wadada walioolewa wakiwa
Siku hizi nao wanaoa, akiona umemtawanya miguu kisha hutangazi ndoa kisingizio maisha magumu, anakwambia nataka unioe ila kila kitu niachie mm, atakupa hela ya kishika uchumba upeleke kwao yaani anagharamia kila kitu mpaka harusi, hao ndo maranyingi wanalalamika mme wangu hanisaidii kwa lolote hata pesa ya matumizi hatoi, anasahau ahadi yake kuwa kila kitu nitagharamia mm.
 
Mentor hhahahahhahha dahhh umenifanya nitabasamu ghafla JF ile ya miaka ya nyuma inanirudia kichwani.

I'm good, actually really good.
Dahhh ulipotelea wapi ?

Mimi?
Been here...nimefurahi sana kukusoma!


life goes on.....
 
Sawa mkuu lkn basi nihukumu mm km mm, sio ufike hadi kwa mtoto. Kuna ulazima gani wa kuita litoto? Kosa la mtoto hapo ni nini? Kuweni na busara, msiwe mnaropoka tu Nyuma ya key board ukidhani mnafurahisha watu kumbe mnaumiza sana mioyo ya watu bila kujua.
Unadhani wote tulipenda kuwa hv? Kuna mambo mengi sana nyuma ya hili jambo, msiwe wakurupukaji tu otherwise mseme tuwaachie jukwaa.
Hakika umeongea na uchungu mkubwa sana pia nimejifunza kitu kitoka kwako basi tusamehe wote tulio umiza mioyo kwa kuandka post za kuropoka,ila na nyie punguzeni tamaa zinawaponza,nikitoa pesa ndefu hakika nitajua wew huna mapenz ya dhati kwahyo hata nikienda na wew ni kutimiza haja yangu tu kumbe siku hyo mimba tayar ukiniambia nina mimba yako siwez kuamin maana mwanzo ulionesha mapenzi kama biashara nitajua biashara imefanyika sehemu nyingne naletewa mimi kiukweli ni ngumu kukuamin
 
Usichojua na cha kushukuriwa ni uke wa Mwanamke una shukrani sana, maana akizaa uke hurejea katika hali yake ya kawaida, ukimuona mdada analea Mwanae mpongeze wala usimdharau na kumdhihaki kama mfanyavyo wanaume wa JF,mwanamke huyu anaweza sana kumchukua mtoto na kwenda kumtelekeza kwa mzazi mwenzie lakini hafanyi hivyo kwa ajili ya kupambania maisha ya mtoto wake asikumbane na mateso asiyostahili, ukioa single mother jua umeoa mwanamke mpambanaji na mvumilivu wa hali zote za kimaisha
 
Wengi hawapendi single mother ulijizalia hovyo ruber inachoka ndio waume wanakula na kukimbia
Wanaume wengi wanapenda mke ambae hajazaa kwa kuwa rubber haijachoka kupwaya
Hahahaaaaaa tena nyie ndo mcceme ki2 maana mwawatolea vitoto kila kukicha eti acwe single mom, tehtehtehhhhhhhhh
 
Yaani mtoa post hata wakuponde lakn ukweli utabaki pale pale mwanamke alie zalia nyumbani ni asilimia ndogo sana ya kuolewa na kijana ambae haja pata mtoto,yaan ataolewa na wanaume wenye watoto Wakubwa na wengne kuishia kuliwa tu nan aanze kulea litoto la mtu mwisho wa siku baba yake anakuja kuchukua umemkuzia, labda huyo mwanamke awe anajiweza kiuchumi lakn kama ndyo hana hata kaz yeyote kaz kutegemea kuletewa masimango yatamkimbiza tu maana mwanaume akitoka huko amevulugwa akija home litoto linapiga kelele wala sio lake na yy akifikilia hana mtoto,kifuatacho ni kofi tu nenda kwa mama yako
Masimango ni tabia na hila za baadhi ya wanaume, wala si jambo linaloletwa na single mother!
 
Back
Top Bottom