Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hali mnaijua wenyewe ndo maana mnawakap
probably yes,
Sio kuandama ni ukweli tuKua single mother sio ulemavu...
Acheni kuwaandama...
no research,no right to speakp
probably yes,
Ni hv mkuu sio wote tulipata watoto kwa style hiyo. Km nilivyosema yaliyo nyuma ya hii scenario ni mengi. Wala haina haja ya kumlaum Mama.Hakika umeongea na uchungu mkubwa sana pia nimejifunza kitu kitoka kwako basi tusamehe wote tulio umiza mioyo kwa kuandka post za kuropoka,ila na nyie punguzeni tamaa zinawaponza,nikitoa pesa ndefu hakika nitajua wew huna mapenz ya dhati kwahyo hata nikienda na wew ni kutimiza haja yangu tu kumbe siku hyo mimba tayar ukiniambia nina mimba yako siwez kuamin maana mwanzo ulionesha mapenzi kama biashara nitajua biashara imefanyika sehemu nyingne naletewa mimi kiukweli ni ngumu kukuamin
we need the source of ur informtn mzee,achana na msimamo usio na mantikiHali mnaijua wenyewe ndo maana mnawaka
Source maisha tunayoishi au unataka ni act tamthilia nikuletee ndo uaminiwe need the source of ur informtn mzee,achana na msimamo usio na mantiki
Wanaubaguzi sana hawa viumbe mda ukienda wanasaka ndoa hata kw ndumba lakn wakiwa bado wanavutia utasikia nataka mwenye ajira nzuri mwenye elimu,mrefu,six pack,na awe mwenye mapenzi ya dhati.kimbembe hampati anae mtaka mpaka umli unaenda anaamua kuzaa bado anajichanganya tuNa hapo pia labda kaolewa ili mradi tu iwe hivo ila choice alishakosa
be blessed nimependaAfu wanaume wanajiona watakatiiiifu ila duh acha tu, kwaiyo hao mnaoona kuwa ni wabichi wametupa wangapi? Hiyo haimfanyi mtu kutoitwa mama maana tayar alishatoa ispokuwa anabak kuwa mama wa asiyeonekana
sureNi hv mkuu sio wote tulipata watoto kwa style hiyo. Km nilivyosema yaliyo nyuma ya hii scenario ni mengi. Wala haina haja ya kumlaum Mama.
Watazalishwa tu had akili zikae sawaWanaubaguzi sana hawa viumbe mda ukienda wanasaka ndoa hata kw ndumba lakn wakiwa bado wanavutia utasikia nataka mwenye ajira nzuri mwenye elimu,mrefu,six pack,na awe mwenye mapenzi ya dhati.kimbembe hampati anae mtaka mpaka umli unaenda anaamua kuzaa bado anajichanganya tu
Ulichagua kuzaa...!hapa unatudanganya labda kama bahati mbaya..Hivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.
Source maisha tunayoishi au unataka ni act tamthilia nikuletee ndo uamini[/QUOThahahahaha,kwel jf ina watu,hahaha,
Siku zote wadada hampendag ukwel ndo mana mnaishia kudanganywa tu watu wanaacha mbegu na kusepahaha
[emoji70] [emoji94] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] kwahyo alie koswa muelekeo wa maisha anaamua kuuoa mke wa mtu maana mwanamke alie zaa ni mke wa mtuVijana waliokosa mwelekeo wa maisha.
Hongera singo mazaWengi tu
uSiku zote wadada hampendag ukwel ndo mana mnaishia kudanganywa tu watu wanaacha mbegu na kusepa
Mara nyingi wanatunzwa na hao wanawake[emoji70] [emoji94] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] kwahyo alie koswa muelekeo wa maisha anaamua kuuoa mke wa mtu maana mwanamke alie zaa ni mke wa mtu