Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Singo maza wa humu nimewajua leo...maana hii kitu imewapata...tupo singo fazas njooni tuyajenge
 
Huyo mwanamke ana matatizo ya akili, au kuna mtu nyuma anampa pasipo wewe kujua,kwaiyo kwako anatafuta heshima tu
 
Hapa kinachoongelewa ni kuzaa kabla ya ndoa sio mwanamke mjane
 
Ninawafahamu at least 4 ''former'' single mothers waliolewa na vijana wa rika lao. Tabia na kujitambua matters a lot. Tatizo moja la single mothers walio wengi ni ile desperation ya kuwa na mume, matokeo yake wanafanya mambo ya ajabu na mwisho wa siku hao wanaume wa ndoto zao wanatishika na kusepa. Ewe single mother, don't be discouraged. Kosa sio kosa bali kurudia kosa. Unapofanya ''kosa'' kwa mara ya pili, hiyo wenyewe wanaiita choice.
 
My dear huyo anayetukana single mother usikute naye ni mtoto wa haramu kalelewa na single mother. Pia huwez jua, maisha hayana kanuni. Huyu mleta mada namwombea aje azae mabinti na wao waje kuwa single mothers. Mjinga sana huyu mtoa mada
Kwahyo wew unaona raha sana kuzaa kabla ya ndoa?bikra itolewe kabla ya ndoa sawa mpaka kuzaa sasa uzae mmh
 
Ishu sio pesa ishu picha halinogi naanza na life na single mama wakat wadada single wapo
inawezekana pia wadada single wapo ila hawastahili kuanza maisha na wewe! Usim judge mtu kwa kigezo cha udhaifu wake,udhaifu wa kuwa single mother hauondoi ukamilifu wa kuwa mke bora kwako kuliko yule aliye single, after all kwa Dunia ya sasa kumpata mwanamke single ni nadra sana wengi wameachika kwenye mahusiano ya nyuma ndipo ukamuokota wewe na kumuita single
 
Hivi mtu aliyefanya jambo jema ni vibaya kumpongeza?
Jambo jema linafanywa mkiwa kwny ndoa...sasa ukifanya tendo nje ya ndoa linakuwa na utata ndio maana vijana wanasema posibility inakuwa 00000000.01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…