Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Asante. Ntakuonyesha na singo baba umpongeze pia naona kujichukulia pongezi hizi peke yangu ni ubinafsiHongera singo maza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Ntakuonyesha na singo baba umpongeze pia naona kujichukulia pongezi hizi peke yangu ni ubinafsiHongera singo maza
Sina hizo niko ka single hata haruf ya mtto bado namngoja ubavu wangu tu amalize yake tufanye yetu tunaanza pamoja wote from scratchbila shaka na ww uliacha sehem
u
Kweli aisee bora waoane tu maana hakuna namna haiwezekani sina mtoto nibebeshwe mzigo sio wangu kila abiria achunge mzigo wakeSingle mother ataolewa na single farther
Nimpongeze kwa bao alilokuachia?!Asante. Ntakuonyesha na singo baba umpongeze pia naona kujichukulia pongezi hizi peke yangu ni ubinafsi
Kwani hastahili pongezi?Nimpongeze kwa bao alilokuachia?!
Huyo mwanamke ana matatizo ya akili, au kuna mtu nyuma anampa pasipo wewe kujua,kwaiyo kwako anatafuta heshima tuSiku hizi nao wanaoa, akiona umemtawanya miguu kisha hutangazi ndoa kisingizio maisha magumu, anakwambia nataka unioe ila kila kitu niachie mm, atakupa hela ya kishika uchumba upeleke kwao yaani anagharamia kila kitu mpaka harusi, hao ndo maranyingi wanalalamika mme wangu hanisaidii kwa lolote hata pesa ya matumizi hatoi, anasahau ahadi yake kuwa kila kitu nitagharamia mm.
Pongezi yann sasa wakat ww mwnyw ulimuachia pale katiKwani hastahili pongezi?
Hapa kinachoongelewa ni kuzaa kabla ya ndoa sio mwanamke mjaneReal men like you are rare in this world. God bless you exceedingly dear. Uko na busara nyingi sana. Hawa wanaume wanaopiga kelele kutukana single mothers hawajui ya kesho yatakuwaje. Wanaweza wakazaa watoto wa kike watakaokuja kuwa single mothers mbeleni. Mungu anaona kila kitu, acha waendelee kuwahukumu single mothers.
Hakika umenena, hakuna mwanamke wa kufanya hivyo aisee.Huyo mwanamke ana matatizo ya akili, au kuna mtu nyuma anampa pasipo wewe kujua kwaiyo kwako anatafuta heshima tu
Shemeji kwan una watt wangapi?!Akili chafu
Wapo ila wanawake hawajaa kiuolewaji. Wanapenda harusi kuliko ndoa.Waoaji wenyewe wapo siku izi basiiii?
Hivi mtu aliyefanya jambo jema ni vibaya kumpongeza?Pongezi yann sasa wakat ww mwnyw ulimuachia pale kati
Wengi tu n Naolewa Soon na Mwanaume mwenye akili zake na busara.Shemeji kwan una watt wangapi?!
Kwahyo wew unaona raha sana kuzaa kabla ya ndoa?bikra itolewe kabla ya ndoa sawa mpaka kuzaa sasa uzae mmhMy dear huyo anayetukana single mother usikute naye ni mtoto wa haramu kalelewa na single mother. Pia huwez jua, maisha hayana kanuni. Huyu mleta mada namwombea aje azae mabinti na wao waje kuwa single mothers. Mjinga sana huyu mtoa mada
inawezekana pia wadada single wapo ila hawastahili kuanza maisha na wewe! Usim judge mtu kwa kigezo cha udhaifu wake,udhaifu wa kuwa single mother hauondoi ukamilifu wa kuwa mke bora kwako kuliko yule aliye single, after all kwa Dunia ya sasa kumpata mwanamke single ni nadra sana wengi wameachika kwenye mahusiano ya nyuma ndipo ukamuokota wewe na kumuita singleIshu sio pesa ishu picha halinogi naanza na life na single mama wakat wadada single wapo
Jambo jema linafanywa mkiwa kwny ndoa...sasa ukifanya tendo nje ya ndoa linakuwa na utata ndio maana vijana wanasema posibility inakuwa 00000000.01Hivi mtu aliyefanya jambo jema ni vibaya kumpongeza?