Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

kwa hiyo mlitaka tutoe mimba ili tupate mwanaume wa ndoto yangu na bado nimeua uje uniletee ufuska acha tuzae tu ... kama issue ni hiyo tuzae tu


Wanataka tutoe mimba tukifika kwenye ndoa hatuzai waanze kutunyanyasa hatuna vizazi kumbe wamesababisha wao kwa kuona kuzaa kabla ya ndoa ni dhambi. Tuzae tu mwaya wakitaka watuoe wasipotaka pia sawa.
 
Naakiolewa full misukosuko maana watu wataleaje jina la mtu mwingine?ukipenda boga penda na ua lakelakini
 
Ukiacha hao waliozaa, kuna hawa watoaji mimba maarufu.

Sasa tumia akili yako:-

Ni bora yupi?
 
Wanataka tutoe mimba tukifika kwenye ndoa hatuzai waanze kutunyanyasa hatuna vizazi kumbe wamesababisha wao kwa kuona kuzaa kabla ya ndoa ni dhambi. Tuzae tu mwaya wakitaka watuoe wasipotaka pia sawa.
tena wakae mbali nasi sababu kutoa kumbe kinachoweza nipenda maisha yangu yote kwa ajili ya mwanume ambaye baada ya ndoa sielewe he just fuuck other women around me never never never and never
 
THIS IS SO NEGATIVE AND VERY BAD ..... POSSIBILITY IS 100% UKIAMUA KUBADILIKA NA KUWA MWANAMKE MTIIFU, MWENYE MALENGO NA MWAMINIFU. HAMA MAJITU TUNAYOOA YASIYO NA WATOTO NI YALE YALE TU! TENA NI MBAYA ZAIDI MAANA HATA HUJUI YAMEPITA WAPI! MARA KAKA, MARA COUSIN, KUMBE X'S BORA MWENYE MTOTO.

KAMA UNA MTOTO USIKATE TAMAA, DON'T BE DESPARATE, JIWEKE SAFI, KUWA NA HESHIMA, MWOMBE MUNGU, UNA CHANCE 100% YA KUOLEWA TENA!



Chonde! Chonde! Akina dada. Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vzr, utavaa vzr na njiani utasimamishwa na wakaka watana shati LKN mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
 
Hajasema single mother wanawake wabaya kuolewa kasema ukishakuwa single mother ndoa inakuwa ngumu...na ndio ukweli wanaume wengi sn hawapendi kuoa mwanamke mwenye mtt na mtu mwingine
Ukisoma comment nyingi za humu utaelewa watu wanawatazaje single mother, je wanawatazama kwa jicho la Wema au ubaya!! Na kama wangewatazama kwa jicho la Wema faraja ingelikua juu yao ila including you unawatazama kwa jicho la ukosaji na kuwaona wasiofaa
 
Albino hana tatzo hata mlemavu hana tatzo kibaya ni kuzaa kabla ya ndoa kwanza hata family yenu umeidhalilisha kama wew ni first born umewafungulia njia mbaya wenzio wa kike ni full kuongeza mizigo nyumbani
Si kila singlemama ni mzigo kwa familia, amka wewe acha uboya
 
Jamani unaweza kuolewa ili mradi kuondoa nuksi i.e BORA MUME. Lkn anakuwa hagongi hisia na ndoto zako.

Na ukiona dume zima humu jf linatetea simgle mothers kuwa wanaweza kupata waume wa ndoto zao ujue nalo limeokota nungayembe lenye mtoto.

Kuna kero 2 kubwa ukioa single mom. Moja ni kelele za, ama kuhudumia toto ambalo si lako.
Mbili, ni mawasiliano ya single mom na mzazi mwenzie~Lazima yatakuwepo tu, ya siri ama ya wazi.
Nungayembe ndo nin mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapoouvu yatawatoka leo
 
Hakiniumi kitu ila kama ni fashion imechuja sana
Ungelijua hii fashion ndio iko Hot wala usinge ongea, ndoa nyingi zina vitimbi siku hizi hivyo basi hata wanawake walio kwenye ndoa wengi hutamani waishi maisha yao peke yao na watoto wao automatically they wanna turn to be single mothers
 
Back
Top Bottom