Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED.

Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa uchache.

Tutakiane heri wanaJF!
 
Usimsahau mpuuzi mmoja anajiita my son drink water umuajiri awe hata mlinzi wako
 
Kalaghabaaoooo na ndoto zako wakati mwenzako Hoyce Temu tayari kesha ukwaa ubalozi.
 
Mkuu hebu amka usije Ukajojoa bure.., hizo ndoto za Mchana huwa zinaambatana na Maluweluwe ya kila aina..!!!
Akifikiria jinsi alivyokuwa anamtukuza jiwe basi anajiona kama yupo kwenye LAITI TIRAAAAKI YA KUPEWA U DC
 
Back
Top Bottom