Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

Ukiendelea kuchangia JF ukiwa Mkurugenzi tatizo litakuwa nini?
Si atakuwa mwenzao! Chai na mandazi asubuhi huku akiperuzi magazeti ya bure, ac ikinguruma 24hrs hata kama hakuna mtu, gari ac 24hrs na haizimwi hata kama imepaki, vikao visivyoisha kebekebe vyenye nia ya kujizoelea posho za kufa mtu, bado rushwa, ufisadi na kutishia wanyabiashara na raia, ni nafasi ya kujizolea kodi za wanyonge bila jasho...
 
Back
Top Bottom