Nani kwakwambia humu JF hakuna wakuu wa wilaya na Mikoa. Kwanza humu wakubwa ndo wamejaa na wanaandika kama kawaida.Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED.
Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa uchache.
Tutakiane heri wanaJF!
Nani ateue SadalaNina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED.
Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa uchache.
Tutakiane heri wanaJF!
Madelu ndiyo nani kwani?Tunashukuru kwa kutusimulia ndoto yako ya alfajiri. Ili ndoto hii itimie kamtafute madelu amuonyeshe kwa yule Bibi mganga hapo singida akuchanje chale za mvuto kwani alimsaidia Sana kurudi kwenye game baada ya punda kumgonga!
Kumbe wapo!Hiv kaz ya DED nini??
Hahaha kivip mkuu nimecheka sanaafande sele nae maafisa vipenyo walimpeleka chaka hivi hivi
wakamdanganya kuwa?Hahaha kivip mkuu nimecheka sana
DU!Labda utakuwa 'DEAD' mkuu, ngoja tusome fasihi kwa tafakuri.
Umemlenga nani hapa?Ukafute na comments zako, kule ulipokula kimasihara Mheshimiwa
Wewe DEDUmemlenga nani hapa?
Wenzake huwa wanakuja na Headings,wanashangaa info zote wanazipata mpaka dada mfagiaji anavyoiba sanitizer ofisini na kwenda kuuza mtaani.Hapa hata Mama Samia yupo, itakuwa wewe Mkurugenzi wa Halmashauri au Mkuu wa Wilaya?, Hapa ndipo TOR za uongozi wako utazipata.
Tehe tehe nimekula wapi sasa wakati mimi bado nipo clean namna hii!Wewe DED
Madelu. Halafu jifunze matumizi ya ndio na ndiyo!Madelu ndiyo nani kwani?
Usahihi ni "ndiyo" au "ndio"? inawezekana kunisahihisha huko ndiyo unanipotosha! Isije ikawa kama wale wa io, ivo, aya, n.kMadelu. Halafu jifunze matumizi ya ndio na ndiyo!