unamfahamu?Mkuu hebu amka usije Ukajojoa bure.., hizo ndoto za Mchana huwa zinaambatana na Maluweluwe ya kila aina..!!!
Sukuma Gang bado wanafikili wapo awamu ya 5Mkuu hebu amka usije Ukajojoa bure.., hizo ndoto za Mchana huwa zinaambatana na Maluweluwe ya kila aina..!!!
Naona utakuwa bize kuiba mafungu kwa hiyo dhamiri itakusuta kuchangia 😅😅Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu
Majukumu ni mengi ukiwa DED!Ukiendelea kuchangia JF ukiwa Mkurugenzi tatizo litakuwa nini?
Hahahaha toka rais aseme atateua bila kujali chama nyumbu hawalali wanaota teuzi tuu.Sukuma Gang bado wanafikili wapo awamu ya 5
Akifikiria jinsi alivyokuwa anamtukuza jiwe basi anajiona kama yupo kwenye LAITI TIRAAAAKI YA KUPEWA U DCMkuu hebu amka usije Ukajojoa bure.., hizo ndoto za Mchana huwa zinaambatana na Maluweluwe ya kila aina..!!!
Za MATAGA kama weweHizo ndio kazi gani!!??