Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

Tunashukuru kwa kutusimulia ndoto yako ya alfajiri. Ili ndoto hii itimie kamtafute madelu amuonyeshe kwa yule Bibi mganga hapo singida akuchanje chale za mvuto kwani alimsaidia Sana kurudi kwenye game baada ya punda kumgonga!
 
Don't celebrate when is too early [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani kwakwambia humu JF hakuna wakuu wa wilaya na Mikoa. Kwanza humu wakubwa ndo wamejaa na wanaandika kama kawaida.
 
Nani ateue Sadala
 
Tunashukuru kwa kutusimulia ndoto yako ya alfajiri. Ili ndoto hii itimie kamtafute madelu amuonyeshe kwa yule Bibi mganga hapo singida akuchanje chale za mvuto kwani alimsaidia Sana kurudi kwenye game baada ya punda kumgonga!
Madelu ndiyo nani kwani?
 
Hapa hata Mama Samia yupo, itakuwa wewe Mkurugenzi wa Halmashauri au Mkuu wa Wilaya?, Hapa ndipo TOR za uongozi wako utazipata.
Wenzake huwa wanakuja na Headings,wanashangaa info zote wanazipata mpaka dada mfagiaji anavyoiba sanitizer ofisini na kwenda kuuza mtaani.
 
Madelu. Halafu jifunze matumizi ya ndio na ndiyo!
Usahihi ni "ndiyo" au "ndio"? inawezekana kunisahihisha huko ndiyo unanipotosha! Isije ikawa kama wale wa io, ivo, aya, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…