Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Sasa shida ipo wapi hapo? Baba yako alikiwa anacheza "mdumange na solo" wakati Master J anapambania ardhi.Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
View attachment 3465603
Aridhi yaTanzania ni elastic product, kweli kama kiwaja kimoja ni 300m ×100 ana karibia 3trion shilling, kwanini niende kigamboni kwa kiwanja 300m wakati kibaha napata kwa 50m ni too elasticAlitumia akili kuinvest ktk ardhi.
Kama ana beach plots basi kongole nyingi sana kwake.
Na mwalimu angetaifisha. Alichukia watu kuwa matajiri.Enzi zile za sisa za ujamaaza CCM huyu jamaa ngeitwa kabaila
It's just a matter of preference.Aridhi yaTanzania ni elastic product, kweli kama kiwaja kimoja ni 300m ×100 ana karibia 3trion shilling, kwanini niende kigamboni kwa kiwanja 300m wakati kibaha napata kwa 50m ni too elastic
Preference moves with economic logic,It's just a matter of preference.
No, Mwalimu likuwa sahihi. Kwa ubinafsi tunaouona kwa viongozi wa miaka hii, kama hawa ndio wangeanza kutawala wao basi ardhi yote nchi hii huenda ingekuwa inamilikiwa na familia 2 au 3 za viongozi, na wananchi waliobaki wangebaki kuwa wapangaji .NNa mwalimu angetaifisha. Alichukia watu kuwa matajiri.
Who said every decision based on personal preference doesn't comply or doesn't go along with economic logic?Preference moves with economic logic,
Mh miaka ya tisini Master Jay alikuwa anapita mtaani kwetu kwa miguu kwenda kurekodi kwa akina Paul aka P funky.Ila Master Jay ni kama vile anazeeka vibaya. Siku hizi ameanza majigambo na siyo majigambo ya kuhamasisha bali ni kutaka kutambuliwakl kwamba na yeye yupo.
Juzi kati kafanyiwa intavyuu kasema miaka ya tisini ilifika muhindi kakubali kazi za bongo fleva wakawa (yeye na wenzake) advanve ya milioni 500. Nyie wakongwe, ni kweli mwishoni mwa miaka ya tisini muhindi sijui MUM angeweza kutoa pesa hiyo?
Azimio la Arusha lirudi vitaifishwe hivyo 99 abakie na kimojaEnzi zile za sisa za ujamaaza CCM huyu jamaa ngeitwa kabaila
Acha uongo.Mh miaka ya tisini Master Jay alikuwa anapita mtaani kwetu kwa miguu kwenda kurekodi kwa akina Paul aka P funky.
Hongera sana kwake alifanya kazi nzuriWakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
View attachment 3465603
Ukweli ni upi?Acha uongo.
1. Master J ndiye aliyeanza kuwa na studio kabla ya P Funk.Ukweli ni upi?
Humjui Master J wala P funk unaongea kwa hisia. Enzi hizo kutembea kwa miguu haina maana kwenu hakuna magari. Hata huyo P funk most of the time tulikuwa tynatembea nae kwa miguu akitoka IST na mama na baba yake wana brand new Nissan patrol. Kwa akili yako kurekodi wanafanya wasanii tu sio?1. Master J ndiye aliyeanza kuwa na studio kabla ya P Funk.
2. Master J sio msanii, aende kwa P kurekodi nini?
3. Master J ni mtoto wa kishua, idea kwamba alikuwa anatembea kwa miguu toka Masaki mpaka Bamaga haiingii akilini.
Dar ya 2004 ulitokea wapi weweWakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
View attachment 3465603
Kweli!?Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
View attachment 3465603