Producer maarufu nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.

Producer maarufu nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.

Ila Master Jay ni kama vile anazeeka vibaya. Siku hizi ameanza majigambo na siyo majigambo ya kuhamasisha bali ni kutaka kutambuliwakl kwamba na yeye yupo.

Juzi kati kafanyiwa intavyuu kasema miaka ya tisini ilifika muhindi kakubali kazi za bongo fleva wakawa (yeye na wenzake) advanve ya milioni 500. Nyie wakongwe, ni kweli mwishoni mwa miaka ya tisini muhindi sijui MUM angeweza kutoa pesa hiyo?
Nasikia pia Master J ni 'Pancha' je, ni Kweli?
 
Mh miaka ya tisini Master Jay alikuwa anapita mtaani kwetu kwa miguu kwenda kurekodi kwa akina Paul aka P funky.
Punguza uongo na ikiwa huwajui hao watu kaa kimya kuficha aibu inayokuandama
 
Humjui Master J wala P funk unaongea kwa hisia. Enzi hizo kutembea kwa miguu haina maana kwenu hakuna magari. Hata huyo P funk most of the time tulikuwa tynatembea nae kwa miguu akitoka IST na mama na baba yake wana brand new Nissan patrol. Kwa akili yako kurekodi wanafanya wasanii tu sio?
Kwasababu humjui Master J wala P funk ni hivi, miaka ya 90s Master J alikuwa anakaa Oysterbay na P funk anakaa Masaki. Kutembea kutoka Masaki hadi Obay ilikuwa kawaida sio kama nyimyi kizazi cha bodaboda.
Bullshit.
 
What is the intention then? Anafanya bragging cyo, Au labda tuseme ni Inspiration!!!?
 
Nchi yetu tuna bahati sana
Kama mtu ananunua ardhi yote hiyo na kuwaza kuiuza ili kupiga hela
Basi ni jambo la kujivunia bado.

Hebu fikiria jirani yetu kuna matajiri wana ardhi na mashamba binafsi na hakuna wa kuyauza bali wameyazuia baadhi ya watu.

Yaani wameyahodhi kiasi kwamba mwananchi wa kawaida akiwa na garden nyuma ya nyumba anaita shamba
 
Back
Top Bottom