Producer maarufu nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.

Nasikia pia Master J ni 'Pancha' je, ni Kweli?
 
Mh miaka ya tisini Master Jay alikuwa anapita mtaani kwetu kwa miguu kwenda kurekodi kwa akina Paul aka P funky.
Punguza uongo na ikiwa huwajui hao watu kaa kimya kuficha aibu inayokuandama
 
Bullshit.
 
What is the intention then? Anafanya bragging cyo, Au labda tuseme ni Inspiration!!!?
 
Nchi yetu tuna bahati sana
Kama mtu ananunua ardhi yote hiyo na kuwaza kuiuza ili kupiga hela
Basi ni jambo la kujivunia bado.

Hebu fikiria jirani yetu kuna matajiri wana ardhi na mashamba binafsi na hakuna wa kuyauza bali wameyazuia baadhi ya watu.

Yaani wameyahodhi kiasi kwamba mwananchi wa kawaida akiwa na garden nyuma ya nyumba anaita shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…