Producer S2Kizzy kabla ya kwa switcher alikuwa wapi?

Yeah kwa mtu anayejua music ... ile violin simchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu Lufa alitokea wapi, maana mimi kwa mara ya kwanza nilimahamu kwenye alosto, Jamaa anagonga midundo mikali ule wimbo nilikuwa naupenda hasa niuachie saut ya juu kwenye gari nikiwa huko barabara za vumbi ambako kuna ngedere na ndege tu
 
Mtoto wa Arusha,Quick Racka ndo kamtoa jamaa baada ya kumtumia sample za beats jamaa akazielewa then akamwambia njoo dar so akaanza kazi Switch records ya Quick.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luffa naye alishaondoka hapo Wanene. Wenyewe wanasema walimtema.
Eeh ndiyo sasa sijui bado yupo??.. Daah ila nami ntatoka tuu.. nawakubali Sana wanene..

Dah ni kweli kabisa. Kumbuka Manecky naye.
 
we jamaa mi nilisoma na mtt wa steve jobs ....

Ila simmind mwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mshamba wa wapi?? ammy ndo nani?? au unajipigia promo??.. wanadai kodi siku hizi mpaka matangazo ya mitandaoni!.. shauri zako..
Kama hujui kitu tulia uelekezwe!
Hiyo ngoma ya solo hajatengenza s2kiz imetengezwa na ammy!
Nadhani ni producer aliyebadili kwa s2kiz pale switch records
 
Kama hujui kitu tulia uelekezwe!
Hiyo ngoma ya solo hajatengenza s2kiz imetengezwa na ammy!
Nadhani ni producer aliyebadili kwa s2kiz pale switch records
unataka kusema kizzy kasepa?? tufanye yaishe tuu maana tutafika mbali!... maana hata mleta Mada mwenyewe kasema ila ni wewe mchawi mmoja tuu..
 
Achana hizo swaga za kutaka kukumbukwa na mwanaume mwenzako, fight utoboe.
 
[emoji23] [emoji23] Mkuu unaishi wapi?
Kizzy kafungua studio yake mda mrefu
Hilo tunalijua toka kitambo.. studio inaitwa Pluto.. sijui!.. ishu ni ngoma ya solo katengeneza nani??
 
Hilo tunalijua toka kitambo.. studio inaitwa Pluto.. sijui!.. ishu ni ngoma ya solo katengeneza nani??
Ammy mbona Kuna sign yake amejitaja mule?
Afu nadhani hata ngoma yao flan wamemshirikisha jollie ametengeneza huyo ammy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…