kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
- Thread starter
- #41
Hivi mkuu Lufa alitokea wapi, maana mimi kwa mara ya kwanza nilimahamu kwenye alosto, Jamaa anagonga midundo mikali ule wimbo nilikuwa naupenda hasa niuachie saut ya juu kwenye gari nikiwa huko barabara za vumbi ambako kuna ngedere na ndege tu