Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Oliver ngoma, alishafariki mgabon huyu. Nakumbuka ilikuwa 2010, alikuwa na shida ya figo. Kwa upande wangu, huyu na monique seka ndio waliokuwa vinara wa zouk afrika.
Day jamaa alikuwa anajua sana
Kumbe nyimbo zake nyingi background alipiga guitar mwenyewe
 

Siku hizi imba matusi ndio utatoboa ila ukiimba elimu utasikilizia tu kwa bomba watu wanapenya
 
Huyu dogo anayeitwa Luhan chen,mbona kapaniki sana au ni producer wa kizazi kipya?

Mbona hana adabu,dogo kajiunga lini humu,hajui terms and conditions za humu ndani?

NB:kuna wimbo wa Country boy na s2kizzy pamoja na khaligraph Jones unaitwa wanaona haya ni nzuri sana

Genre:hip-hop
Producer: S2kizzy
 
Tumsamehe tu mkuu huenda hajakua kua bado

Huo wimbo ni mzuri lakini vizuri vinakuwaga vichache tu mkuu

Nasema uongo?
 
Kuna huu wimbo zouk wa kitambo
Steve kana - my love
 
Sam mangwana - toujou OK
Sam mangwana - kabibi
The Marshall tusker band - corola
Oliver ngoma- muendu
 
Unazungumzia hawa wa "Unachukua, unaweka, waah!?"
 
Ila nilisikia copy wanazopiga kwenye show zao (soukous) esp Diamond aisee sound yake ni hatari mno hadi unajiuliza ni hawa hawa wanaopiga ule utopolo wao kweli??
Pia ubora wa studio na sound engineering skills(hii ni tofauti na beat making kabisa) una matter sana.ndo maana hata wakongo wenyewe huwafuata producers wakubwa huko Belgium na France ili kupata quality hii na huwatumia pia kwenye show zao maalum za live ili taste isipotee.
 
Diamond? Nyange ama?
 
Usione kwa kuw ww ni mtu wa 1980's ukatak na sis wa mitano tena tupewe uchafu wenu wa zamani..

MBWEHA WEWE
wakuu naomba ieleweke kuwa shemej yake ameficha remote na kumkoromea aache kulelewa ,mwanaume kamili anayejitegemea na kupambania maisa kwa ajiri ya familia hawez tamka ivi,kwaza uo muda unautoa wapi,

fikira mtu anakutukana bila kumkosea unahisi kichwan mwake kuna nini[emoji1][emoji1][emoji1].

huyo n gradiate annalelewa na shemej yake kwa huruma ya dadaake.

THINK :
 
umesema ukweli kabisa, mfano band ya TP OK JAZZ ilikuwa na wapiga guitar wengi mfano franco na simaro lutumba, pia walikuwepo watu wa saxofone nk, utunzi alikuwepo simaro lutumba na wengine wengi matokeo yake ni muziki mzuri, kuna kipindi unakuta wimbo umetungwa na kuimbwa na watu tofauti mfano wimbo mmoja unaitwa "liwa ya bowule" huu ulitungwa na simaro nadhani ila aliyeimba ni mwanamuziki ambaye hana jina kubwa, hii ilifanya band ya TP OK JAZZ kutoa nyimbo nzuri
 
Kweli kabisa wajina
 
Umesahau nyimbo zote za yondo sister

Na awilo longomba
 
14. Mabele ft loketo ~ Betty
15. Tshala-mwana ~ Seli Pere
16.
Naongeza
16. Kassav - Oule’
17.Oliver N’Goma- Betty
18. Oliver N’Goma - Nge’
19.
14. Mabele ft loketo ~ Betty
15. Tshala-mwana ~ Seli Pere
16.
Naongeza
16. Kassav - Oule’
17.Oliver N’Goma - Nge
18.Oliver N’Goma - Passi
19.Oliver N’Goma - Betty
20. Tshala Muana- Kokola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…